Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona imekuchoma palipo. Lazima muangaike sana kumtafuta mchawi.
 
Sergoit city project Eldoret


More of Eldoret





Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Ice skating ndio inashtua watanzania. ...kwanza ni washamba waoga wanashikana mikono ....hahaha


Ours is a real one



Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio aerial view ya Arusha?mimi sioni chochote, naona 2 vichaka...hahahahahahaha...
Hiyo ndio wanapigia kelele hapa....... .......Kwanza airport ndio comedy kwenyewe. Though kwa planning nimeipatia alama za juu

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 



Just keep it simple yawa....

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Mumeweka maridadi kwenye ceiling. ....hahaha. .bongo mna vituko

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
Angalia design and iko very modern my friend punguza ushabiki kwenye ukweli unasema tu
😀😀😀😀😀😀😀
 
Picha nazo umeshinda ukirudia rudia......East Africa assembly building imewaboost kweli.lakini mji huo ni mdogo mno

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…