Acha tu nikuassume coz ushadhirisha wewe ni mjinga. Tangu nianze kukuengage the last few days, I have realized that huna uelewa wowote wa vitu unazosema.Umeandika utumbo.
But nitakufundisha Taratibu.
GDP iko wapi hapo!?
View attachment 1785609View attachment 1785610
Bwana mapesa sasa hvi anatumia id nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee video nimeiona mpaka mwisho. Nakushangaa unasema hujaona video.Halafu hayo maneno yao nimesikiaje kama sijawatch hiyo 'video'? Na nikajuaje ni vilaza wawili wanaongea?
Yani picha za eastlands zimemfanya alete CBD yao😂😂😂😂😂 leo ntakupiga viboko vikali sana😁😁Mzee Hii hapa ni Kariakoo.
Hatupoi kijana.
View attachment 1785613View attachment 1785614View attachment 1785615
Hii ni tandale Nicxie Yosef Festo Coco Master leo nawapitisha nawapa kitu alkasus mujarab😃😃😃😃😃😃
View attachment 1785608
Kama umeniruhusu nakuaibisha tu hii hapa movenpick hotel 🤣🤣👇👇👇 hio yote naona part ya westlandNiabishe basi 😂😂😂
Mzee uchumi siyo GDP.Acha tu nikuassume coz ushadhirisha wewe ni mjinga. Tangu nianze kukuengage the last few days, I have realized that huna uelewa wowote wa vitu unazosema.
Umemaliza ubishi , na bado barabara za zege hujawapitisha
Hujaona kibera kwenye hiyo post yangu? Ama ni ubishi tu kama ilivyo kawaida yako?Hii mboba hupost unachagua sehemi moja moja tu ndio unapost hata umabali wa picha ni tofaut🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View attachment 1785616
View attachment 1785617
Sawasawa msomi wa IT umeshindaMzee uchumi siyo GDP.
So Dar es salaam is huge.
Hiii yote ni nimechora ni westland kama unabisha sema tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani kuna kibera pekee na mizoga mengine unamuachia nani🤣🤣🤣🤣🤣 au nikuwashe sasa hviHujaona kibera kwenye hiyo post yangu? Ama ni ubishi tu kama ilivyo kawaida yako?
Hao awasumbuliwi,pale aggrey na congo wamejaaa waburundi hadi wanauza mifuko ma maji ya viroba,wanapiga kazi safii kabisa bila kusumbuliwa🤣 🤣 🤣 Halafu wakenya wanambio balaa.
Malawi, Comorros na Burundi ni mikoa ya Tanzania. Wanaigia Tanzania bure kabisa.
Hapa tunabishana kwa vitendo siyo maneno matupu.Yani picha za eastlands zimemfanya alete CBD yao😂😂😂😂😂 leo ntakupiga viboko vikali sana😁😁
Si unajua hawana kwingine!? Picha zao lazima zizungukie tu pale cbdYani picha za eastlands zimemfanya alete CBD yao😂😂😂😂😂 leo ntakupiga viboko vikali sana😁😁
Basi tulia. Nisikusikie tena unapayuka.Sawasawa msomi wa IT umeshinda
Labda siku dunia ikismama watanijibu 🤣🤣Wakikujibu kwa video kama iyo kwenye mitaa ya kibera na mathare unitag
Ushuzi huuuu🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Si unajua hawana kwingine!? Picha zao lazima zizungukie tu pale cbd
🤣🤣🤣🤣 watalia hawaUmemaliza ubishi , na bado barabara za zege hujawapitisha
Bongolala, kibera ndio mtaa kubwa wa mabanda Nairobi and that's why I focused on it. Licha ya huo ukubwa wake look at these two images and make a comparisonKwani kuna kibera pekee na mizoga mengine unamuachia nani🤣🤣🤣🤣🤣 au nikuwashe sasa hvi