Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umia pole,,hii Ni phase one pekee,, phase 2 iko njiani na itakuwa na huge parking building size ya hio yenu ya magufuli😁😁
Eti Thika superhighway Ni 8 lanes😂😂😂😂mamayoo,,,10-12 lanes,,Tz yote hakuna lanes Kama hizi
 
Angalia kuanzia dakika ya name... nikipata zaidi ntashare..

Hii hapa Chini angalia mahindi choma sekunde ya 036.
Video ya kwanza sijaona unachojaribu kudhibitisha ,so labda ufafanue zaidi. Video ya pili ni pale OTC, junction ya Landhies Road na Racecourse Road kama sijakosea. Kama unafahamu Nairobi vizuri, utagundua kwamba hapo ndio 'entrance' ya kuingia katikati mwa mji kwa magari zote kutoka Eastlands, Juja rd na Thika rd. Hapo hujaingia cbd haswa!

Kuhusu huyo mtu wa kuchoma mahindi, hata wewe unaona ni mtu mmoja tu kumaanisha sio jambo la kawaida kwa sababu wangekuwa wengine hapo. Halafu utapata video ilichukliwa mida za jioni ambapo ndio hua wanavamia sehemu nyingi maeneo hayo (downtown generally)
 
So ishu Ni muda au ishu ni hizo biashara holela?
Then hujaona watu wamepanga vitu Chini wanauza kwenye hiyo video ya kwanza na ya pili...what's difference na hicho ulichokiona Tz au kwakuwa hujaona miwa ikiuzwa?
Hii ya matoroli ya maji ntatuma soon nilipiga mwenyewe na simu yangu pale Upperhill Crown plaza hotel kwenye Ile road pale Kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…