zinakuwa listed unter family category sio? Mbona unajijibu mwenyewe? Hivi unajua Mohammed Dewji huwa anakuwa-listed kama individual kutokana na shares zake ndani ya METL ila METL group is more than hiyo $1.5 bln! Ni kama ninavyosema Bakhresa group yes na FYI the group worthiness inapita $3 bln ila wako wengi kama familia!
Hawa majamaa sijui vipi walai, mengi ndio ilikua anawakilisha kw bahati mbaya maulana kamchukua...sai ni mwendo wa machothara tuyani watu 120,000 wamedominate list ya top 100 richest alafu the rest 56M wako kwa mitandao wanacelebrate? Shida kubwa hii. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?
Punguza presha jomba[emoji23][emoji23]umebugi aisee, tatizo kazi yenu kukopi paste tu wala hamjali ni nini kimeandikwa..uvivu mbaya sana...bishana na hio media sio mim
Hivi unamjua Anthony Diallo owner wa Startv na Sahara media group? Anatofauti gani na Samuel Macharia wa Royal Media Services Limited ?Top 100 weusi wanahesabika[emoji23][emoji23]
Top hamna hata msukuma mmoja, yani watanzania halisi bado wanaliwa hku wahindi wakisingizia undugu
Alafu jamaa mwnywe kule kwao ni engineer[emoji23][emoji23]Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?
kwa sababu nampend au sababu wewe umesema??Nenda kamtongoze bintiye huyo Rostam ndio utajua Wahindi wako Tz. [emoji1787] [emoji1787]
Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?
Hawa watakubali kila kitu bora kiwapendelee. 🤣 🤣Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?
Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?
nyie watu mnatia huruma sana.Top 100 weusi wanahesabika[emoji23][emoji23]
Top hamna hata msukuma mmoja, yani watanzania halisi bado wanaliwa hku wahindi wakisingizia undugu
Sahara media group ndio ya kulinganishwa na royal media services, we mzee nenda kapimweHivi unamjua Anthony Diallo owner wa Startv na Sahara media group? Anatofauti gani na Samuel Macharia?
Sawa.mistake niliiona hasa hilo gap ya 3b na 1 tr.. nimeenda nayo hivyohivyo
acha ubishi Bakhresa kama group ita-make sense wakiwa grouped kama family business!naona kimya.. i just wanna hear your comment kwa huyo namba mbili Geza Ulole
Hakuna msukuma atamuoa binti wa rostam aziz wewe, acheni kupumbazaa na kiswahili huku kumbe majamaa wanawala kw upumbavu wenukwa sababu nampend au sababu wewe umesema??
acha ubishi Bakhresa kama group ita-make sense wakiwa grouped kama family business!
kama individual in 2015
Said Salim Bakhresa
Said Salim Bakhresa is #36 on Forbes' 2015 Africa's 50 Richest list. Read more about Said Salim Bakhresa, their experience, their asset summary, and more here.www.forbes.com
Ukweli mchungu[emoji23][emoji23]nyie watu mnatia huruma sana.
so huko kwenu akiwa na pesa mwenye asili ya china hizo pesa ni za mchina na zinakwenda china[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
niambie kuhusu ile xpressway ya wenyewe[emoji23][emoji23]
itashindikana sababu ni binti wa rostam au sababu hana sifa ya kuwa mke watu???Hakuna msukuma atamuoa binti wa rostam aziz wewe, acheni kupumbazaa na kiswahili huku kumbe majamaa wanawala kw upumbavu wenu
tunawajua nyie ni wanafiki,hilo wala hatubishani kabisa.Ukweli mchungu[emoji23][emoji23]
Watu weusi tz makapuku, eti siku ile nae mhindi anapiga kelele pale nairobi..wajanja wanamzoom tu, hyo hawezi fanikiwa kuwekeza kenya..
Tangu mbele wakenya hatufagilii bidhaa zilizo na brand za nje