Barabara iko sawa ila izo nyumba ni cheap ,nothing to brag abtKuna mtu sijamuelewa hapa kwenye forum, husema kwamba mzungu akisema kitu ndo hivyo basi??? Akili gani hii??? Kwani mzungu ndiye mungu wake au vipi??? Akasema hapa kuwa mzungu amesema Umoja, Donholm yani Eastlando in Nairobi ni Slum. Sawa iwe ni slum, na kama hapa ni Slum, Dar ita itwa nini??????? Maana hapa pameshinda Dar mara Ishirini.
View attachment 1775793
View attachment 1775794
View attachment 1775795
Kama nadanganya, mtu achukue muda wake akatazame zile video humu za ujenzi wa SGR Dar. Zina aerial views nzuri za kufunga mjadala.
Dar-Mombasa pipeline will be about 600 km with half of that $2.5 bln be chested by each country through private financing. I believe from Tanga Uganda branch will be under consideration.H
Huu ni upuuzi sasa. Si ilikuwa $1 billion. Sasa imehamia hadi $2.5 billion. Hii ni white elephant na haitajengwa.
This is major menace all over Africa. Its not something government wakes up and just decides to kick them out without an alternative.Leo nimepita kariakoo wanatangaziwa kwamba wanapewa wiki moja kama sikosei, haitakiwi raia kupita barabarani, so wamachinga wanatakiwa waondoke.
Ofcz ktk vitu ambavyo JPM alikuwa ananiudhi ni hapa kwa wachuuzi, haiwezekani mtu aweke banda lake popote pale, maanake nn ss? Watu wamejenga vibanda kwenye side walks zen raia waliojengewa wanapita barabarani, hii ckuwahi kuikubali na sitoweza kuikubali hata kdg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Is this rural?? 🤣🤣🤣 au unatufanya kwamba hatujui dongokundu bypassHow many years for Dar to ever get such in the rurals?
View attachment 1776456
These are small issues nothing to be proud of whether an apology is made or not there is a real issue raised. African are very petty manThe next apology 😅😅😅
Things keep getting tougher
Kazi iendelee tafadhali
Mm hua nakwambia wakenya ni watu wenye roho mbaya na wivu juu ya tanzania yani mgonvi wao wakwanza ni maendeleo ya tanzania hawataki kabisa kuskia tanzania inaendelea na bado mutaamini😀😀[emoji1][emoji1]na wataomba radhi tu[emoji41]
Project ya mchina miaka 30 mukae mulipe ushuru 🤣🤣🤣 hvi kenya inalaana ganiThe view ikimalizika itakua moto sanaView attachment 1776565View attachment 1776566
As long as you are in this world people will talk about you, you are not leaving in isolation in an island people discuss about Mars, what about tz nowMm hua nakwambia wakenya ni watu wenye roho mbaya na wivu juu ya tanzania yani mgonvi wao wakwanza ni maendeleo ya tanzania hawataki kabisa kuskia tanzania inaendelea na bado mutaamini😀😀
PROJECT 58The view ikimalizika itakua moto sanaView attachment 1776565View attachment 1776566
Bahati mbaya ni wakenya pekee wanaoizungumzia Tanzania. Kunasiri gani imejificha!? Hebu niambie.As long as you are in this world people will talk about you, you are not leaving in isolation in an island people discuss about Mars, what about tz now
Tanzania imewafanya nn wakenya au hujui chokochoko zote za kimaendeleo zinaanzishwa na kenya😄😄 au ww mgeni dunia hiiAs long as you are in this world people will talk about you, you are not leaving in isolation in an island people discuss about Mars, what about tz now
Keshaona tayari, yupo humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila huyu Msigwa nae mbambaishaji nimeandika makala ya jinsi journalist Sarah Kimani anavyoichafua Tanzania SABC amenyamaza!
Muongeze na hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona wanakuja kwa kuvizia.Muongeze na hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1776596View attachment 1776597View attachment 1776598View attachment 1776599View attachment 1776601View attachment 1776602View attachment 1776603
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you believe in what you have writtenTanzania imewafanya nn wakenya au hujui chokochoko zote za kimaendeleo zinaanzishwa na kenya😄😄 au ww mgeni dunia hii
100% sure bahat nzuri sana mm wakenya nawajua mpaka chupi zao manake nimeishi nao nimetembea hio nchi karibua yote huna chakunidanganya wewe 😅😅😅😅Do you believe in what you have written
We need order moreover GoT has built plenty of markets for them. They should first go there.This is major menace all over Africa. Its not something government wakes up and just decides to kick them out without an alternative.
These guys are poor and they also need to make money