Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Old school na anamiliki, wewe new on market yako iwapi? Pimbi kweli wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Pwahahaha unatuwekea takataka. Unajua magari wewe!? Huyo ndiye tajiri anamilki old school car, wewe hohehahe utakuwa unamilk punda na Bike
 
View attachment 1769949
Huyo jamaa hapo na bike yawezekana humfiki, hao ata watoto wao wanapeleka University/Colleges kupitia hiyo kazi. Mashamba ya kulima wanayo, manyumba hawalipi kodi. Ukipewa baiskeli waweza timiza hayo wewe pingi!? 🤣 🤣 🤣
 
Hizi ndizo sura za wakenya. Njaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…