Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Mama akitangaza baraza la Mawaziri, aliwatosa Bashiru, Polepole na kuwateua wabunge.
Asingeweza fanya Mageuzi makubwa vile bila support kubwa ya kundi la UOVU ndani ya CCM lililomuahidi nafasi yake ndani ya CCM.
Sisi tulipoona tu, teuzi ya Mulamula, tulijua Kikwete ndio Muongoza nchi.
Mzee hii thread ni Battle Dar vs Nairobi. Sikuelewi unachoongea hapa!?What took place in Dodoma, evidently testifies Magufuli's death was never a happenstance.
SG Chongolo ndio alikua chini ya Nape Nnauye kipindi kile cha Kikwete.
Mzee hii thread ni Battle Dar vs Nairobi. Sikuelewi unachoongea hapa!?
Kijana Mkakamavu nakusihi, kazi inaendelea hakuna kurudi Nyuma. Kuwa chini ya mtu siyo kufuata akitakacho.Mi sio mzee, mimi ni Kijana Mkakamavu.
Dearest friend,
I apologize for occasionally being a source of discomfort, ila nakusii sana, kama uelewi nini naongea, potezea, pita kimya kimya.
Hope you find the above in a very good order.
Thank you.
Nina hofu.Kijana Mkakamavu nakusihi, kazi inaendelea hakuna kurudi Nyuma. Kuwa chini ya mtu siyo kufuata akitakacho.
Tupo vizuri sana na usiogope.
Sikutegemea kama samsung ni wakali wazee acha kabisa ni motoooo[emoji16][emoji16][emoji16]
Iphone 12 pro vs samsung note 20 ultra
View attachment 1769547
komora096 chagua basi nikuhonge [emoji3][emoji3][emoji3]
Iphone 12 pro (5G)
Samsung note 20 ultra (5G)
Samsung z fold 2 (5G)
View attachment 1769548View attachment 1769549View attachment 1769550View attachment 1769552
Picha za upande na mafilter๐ฌ
Key wordshio habari yako in english hii hapa
Sports Min.: Egypt prepares to establish largest Sports Centre in Tanzania | Sada Elbalad
Sports Min.: Egypt prepares to establish largest Sports Centre in Tanzaniasee.news
Nyingine inaenda kujengwa kwenye mradi wa sports city DodomaWakipata International convention center nje ya Nairobi tag me
Dodoma ๐๐๐
View attachment 1769542View attachment 1769543
Kenya ya Kenyatta, Tanzania ya watanzania.Nyingine inaenda kujengwa kwenye mradi wa sports city Dodoma
Mimi nimekufolo. Ngoja niwaambie wadau.
Tanzania si ya Tanzanians Ni Shamba ya Serikali๐๐Kenya ya Kenyatta, Tanzania ya watanzania.
Serikali ni ya watanzania, inaongozwa na watanzania.Tanzania si ya Tanzanians Ni Shamba ya Serikali๐๐
Uko sure na Venye TZ kubwa na kumelimwa part ndogo sana TZ Nusu Ni ya SerikaliSerikali ni ya watanzania, inaongozwa na watanzania.
Uko sure na Venye TZ kubwa na kumelimwa part ndogo sana TZ Nusu Ni ya Serikali
[/QUOTE Na mbona CCM Ndio inaongozanga TZ kila wakati it's like Mornachy or It's Dictatership na mukiteta munafanywa kweli na Jeshi mnakumbushwa nyinyi Ni watumwa kila wakati.Labda ukule marisasi Kama Lissu
Uko sure na Venye TZ kubwa na kumelimwa part ndogo sana TZ Nusu Ni ya SerikaliSerikali ni ya watanzania, inaongozwa na watanzania.