Hujambo zee la mitandao ya kudandia mitini[emoji23][emoji23]Tsh 1000 unapata gb 1 na madakika kibaoo yn hyo tsh elf 1 sawa ksh 43, sasa aje mkunya atuoneshe ksh 43 kwa 1 gb.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka screenshotMbona unajipunguza kw hesabu za st kayumba[emoji23][emoji23]
Sisi hku 30gb unapata kw ksh1000 sasa nambie wewe tangia lini tsh30000 ikawa sawia na ksh1000[emoji23][emoji23]
Akili zimeenda wapi mkuu
Halafu hyo tsh50k ambayo ni sawia na ksh2500 napata 60gb kw kujiunga mara mbili monthly alafu nabaki na jero..We jamaa akili zimo kweli kichwani.
Maana yake 1Gb = 1000Tsh
Ni sawa na 43Ksh for 1GB.
[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Safari comHujambo zee la mitandao ya kudandia mitini[emoji23][emoji23]
Halotel nao mtandao[emoji23][emoji23]
Si heri unambie tigo, airtel na zantel
Ndio manake nimekupuuza
Screenshot ya kwako iko wapi mzee baba[emoji23][emoji23] umepanic sio sasaWeka screenshot
Mzee weka proof hapa acha ujinga.Halafu hyo tsh50k ambayo ni sawia na ksh2500 napata 60gb kw kujiunga mara mbili monthly alafu nabaki na jero..
Tanzania data bundle rahisi, rahisi kwio sio[emoji23][emoji23]
Saf linganisha na voda, alafu kw sasa mabo yamebadilika data haziko hvoSafari com
View attachment 1768342
Mzee unatuletea vitu ambavyo havielewekiScreenshot ya kwako iko wapi mzee baba[emoji23][emoji23] umepanic sio sasaView attachment 1768343
Saf linganisha na voda, alafu kw sasa mabo yamebadilika data haziko hvo
Hii hapa mzee baba[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Mzee weka proof hapa acha ujinga.
View attachment 1768344
Telkom kw sasa namba mbili kenya nzima, yani ukiniona kw sasa nimenunua line zao basi ujue ku stream usiulize 4g yao yani ni 4g kweli..hata airtel sai haumi, yani kapigwa bao la mkono..Mzee unatuletea vitu ambavyo havieleweki
Huo mtandao coverage yake ni wapi na wapi wakati safariko 98% ya watumiaji Kenya. Acha ujinga kijana
View attachment 1768345
Unaendeleza upumbavu sasa. Mimi sipendi upumbavu sawa Mzee. Tunaongea kitu tunamaliza.Hii hapa mzee baba[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nikienda mashinani ni mambo na kujiunga mara mbili tu natulia na 60mbs kw wiki zangu mbili tatu wala sina tatizo kw ksh2k tuView attachment 1768346
Mzee acha ujinga basi. Kama unataka tujadili mambo ya maana India upumbavu kichwani. Unadhani utamdangaya nani kwenye zama hizi za teleology!?Telkom kw sasa namba mbili kenya nzima, yani ukiniona kw sasa nimenunua line zao basi ujue ku stream usiulize 4g yao yani ni 4g kweli..hata airtel sai haumi, yani kapigwa bao la mkono..
Alafu nashangaa weye umeleta tigo ndio tulinganishe na saf[emoji23][emoji23]
Ushindani na wakati nakuwekea screenshots, we vipi bana..km umeshindwa kaa utue maneno mengi ya nnUnaendeleza upumbavu sasa. Mimi sipendi upumbavu sawa Mzee. Tunaongea kitu tunamaliza.
Tanzania MNOs ni kama:-
1. TTCL very cheap
2. Halotel Cheap
3. Zantel moderate
4. Vodacom moderate
5. Togo moderate
6. Airtel moderate
Competition Tanzania ni kubwa ndiyo maana internet ni cheap.
But sipendi ubishani wa kipumbavu.
Mzee ninakuambiaUshindani na wakati nakuwekea screenshots, we vipi bana..km umeshindwa kaa utue maneno mengi ya nn
Kheee[emoji23][emoji23][emoji23]we kweli zuka, kwhyo km mtandao mzuri na unakuja kw kasi ndio tusitumie sisi eeMzee acha ujinga basi. Kama unataka tujadili mambo ya maana India upumbavu kichwani. Unadhani utamdangaya nani kwenye zama hizi za teleology!?
View attachment 1768349
Comparee halajiulize ni mikoa mingapi inalima parachichi kwa tanzaniaa afu linganisha na kwenuNo wonder muranga county wanapanda kwa wingi,,3 yrs to come Kenya itavunja records kwa hii biashara,,I counted not less than 5 avocado companies coming up in muranga county alone[emoji7][emoji7][emoji7][emoji1732][emoji1732]
https://www.facebook.com/
Twende kwanza huku sasa hivi usiku hakuna traffic nikikupatia yangu utakimbia MzeeKheee[emoji23][emoji23][emoji23]we kweli zuka, kwhyo km mtandao mzuri na unakuja kw kasi ndio tusitumie sisi ee
Telkom kw sasa kenya anazindua na safaricom tu..
Mapambano ya speedtest yeye ndio kaonyesha km ywaja kw kasi ya ajabu ndani ya mda mchacheView attachment 1768354
Mkiambiwa telkom namba mbili kw ubora mnabisha, oneni vile anavyomkimbiza sfaricom sasa..Twende kwanza huku sasa hivi usiku hakuna traffic nikikupatia yangu utakimbia Mzee
View attachment 1768356
Huo nao mtandao bana, heri hata nilaleTwende kwanza huku sasa hivi usiku hakuna traffic nikikupatia yangu utakimbia Mzee
View attachment 1768356