Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fumba Town, being built by Kenyans. Joke on you. Ama ulidhani Watanzania wanaweza come up na kitu kaa hii? Kawe City iko wapi?
Nionyeshe palipoandikwa kw ajili ya makaazi[emoji23][emoji23]
Yani leo fumba town imekua estate, basi siku itajaa unijuze
Ona hawa Nyani nilivyowapagawisha na Fumba town, wanaweweseka na development ya Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno yote niliosoma ni nonsense🤣🤣🤣 tena muandishi anaonekana hata elimu ya shule ya msingi hana
 
true mkuu. kifo cha JPM kimeniuma sana. angalia decisions ngumu na za kiume alizofanya kama kuwalazimisha barrick (watu walisema MIGA inatuhusu) kukaa nao mezani, stiglars gorge, kuhamia dodoma (watu walifanya ofisi majengo ya UDOM, now they ok) na kuwakamata kina sethi na wauza madawa nguli tz ambao walikuwa hawakamatiki, watu walimbeza lakini he finally managed. hizi decision ni JPM tu ndio mwenye guts ya kufanya haya kweny watz mil 60. The guy was as well genius, watu wameshindwa kutambua hilo. kuna msemo unasema you have to make decision even if is wrong. kuogopa ku make decion is even worse. kuifanya mloganzila kuwa hospitali kamili badala ya hospitali ya kujifunzia. kuna jamaa yangu mmoja alikuaga anasema TZ mwanaume ni mmoja tu nae ni JPM.
 
Wakishindwa huwa wanasema walijenga wao, hukumbuki TPA?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu ikija battle ya many engineers bado wanakaa yn nilichogundua ni kwamba Kenya inatuzidi kutengeneza blue band tu basi na sio kitu kingine labda na madeni pamoja na wizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Link hii hapa ya skycity na ndio wajenzi wakuu wa fumba town na mm bahati nzuri nawajua sana mpaka CEO wa hio kampuni anaitwa dr yassir😂😂😂

 
Wewe ndio mtoto wake nn yule kibongebonge
 
Jamani kuna pepo uku zinavuma sio za kitoto tuombeane uzima tuu ichi kimbunga kipitee
 
Naskia jamaa kapiga 4b ksh 🤣🤣🤣 ile wakenya hapana nimenyoosha mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…