Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Humu Naona Kuna Zuka Id mpya Wajinga ni wale wale
Yaani Hawa Vilaza wa kikenya Hawajui hata Kujificha
Yaani Ana Unda Id mpya Ila Ujinga ule ule!
Moja inapuyanga Nyingine Ina Like

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mchina si huyo apo kawajengea reli na kawapa na treni kwa mkopo na c mmeona faida mliyoingiza? Ss msitake kutufosi tuchukue maamuzi haraka haraka km nyie, cc elimu yetu imetusaidia ndio maana huwa hatukurupuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye nuuku ya mama pia, Kikwete katila miaka yake 10 alipeleka umeme vijiji 2018.

Magufuli miaka 5 alipeleka umeme vijiii 8300+.

Yaani kwa speed ya utekelezaji wa Kikwete ingechukua miaka 40 kufanya alichofanya Magufuli kwa miaka 5.
Mpaka sasa, tathmini yangu kwa mama naona ni mtu wa ku "lead from behind", hulka yake ni kutoonekana mshari kwenye jamii. Kama Rais mwenye jinsia ya kike siyo kitu cha kushangaza kuwa hivyo, wanawake wengi hupenda huendesha mambo nyuma ya pazia (image ni kila kitu). Ninachokiona ni yeye kuwaachia wasaidizi wake kuendesha nchi kwa mkono wa chuma, mfano tuliona waziri mkuu alivyofanya Dar, nchi hii haiendi bila mijeledi.

Pia mama anapenda kufuatilia mitandao (ila sikupenda yeye kulisema hili hadharani) hivyo kama kuna mambo hayaendi sawa watu wakilalalmika atasikia. Mfano tuliona alipofanya mabadiliko pale TPDC na hata alipofanyia kazi hoja ya mh Zungu. Kwa hiyo tusihuzunike sana, bado wengi waliofanikisha sheria zile za maliasili wapo, na system haiwezi kuacha mambo yarudi kule, kumbuka hata JK wazalendo walimzunguka kusaini Bagamoyo, mpaka akaondoka.
 
Dar haingii hapo[emoji23][emoji23]
Manake naona umeongea kisengerenyuma, zanzibar imewapiga bao hapo..
Tanzania bara mnatafutana
 
Jamaa mwenywe hajielewi, eti inaonekana lule ndio kaweka nguvu sana[emoji23][emoji23]
Naona hapa [emoji3516][emoji3516] umepita kmy kmy kama hujaona vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar haingii hapo[emoji23][emoji23]
Manake naona umeongea kisengerenyuma, zanzibar imewapiga bao hapo..
Tanzania bara mnatafutana
Umeonaee kwamba Zanzibar co Tz na kwamba umekubali Mombasa itasubiri sana kwa Zanzibar, asante sana, mwingineeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109][emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sijui nipoje, niliamini na naendelea kuamini every decision to taken by JPM. hakuna rais anapenda nchi yake isiendelee, especially JPM aliipenda sana nchi yake. ukiona ame delay ku take decision kwenye jambo ujue there is something bad
 
Fumba Town, being built by Kenyans. Joke on you. Ama ulidhani Watanzania wanaweza come up na kitu kaa hii? Kawe City iko wapi?
 
mimi sijui nipoje, niliamini na naendelea kuamini every decision to taken by JPM. hakuna rais anapenda nchi yake isiendelee, especially JPM aliipenda sana nchi yake. ukiona ame delay ku take decision kwenye jambo ujue there is something bad
Usijichoshe mkuu hao wanaosema sema kuhusu bwagamoyo port waambie watumie mfano wa mkataba wa China na Kenya au China na Zambia, don't bother, Magu hajawahi kuwa fala fala wa kuingia mikataba kindezi ndezi kiasi hicho.

Alijua umuhimu wa Bagamoyo port lkn mkataba wa Chief Mangungo wa Msovelo asingeweza ku sign, yeye aliamua km hawawezi kukaa ktk margin yake basi watajenga vizazi vijavyo, kwn tusipojenga leo Bagamoyo itahama? Ni km mwalimu Nyerere alivyoamua kutowahisha uchimbaji wa madini alijua tu kwamba hayatohama yatabaki chini wazalendo watachimba over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…