Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We have regions boss, km hujui kitu kaa utulie[emoji23]
Aliyekua RC wa mombasa region nelson marua wa sasa kiukweli simjui manake hana mbwembwe..View attachment 1758973
Mna 8 geographic regions na sio administrative regions, hata Tanzania ina geographic zones kwa majina ni lake zone, eastern zone, western zone, central zone, southern highlands zone

Wewe huwa unaropoka tu na inaonekana elimu yenu ni mbovu kupita maelezo.
 
Bila reference tunaita umbea.
 
Curfew na jichoboi ina uhusiano gani, mbona nyie munatumia vpn kuingia twitter kwhyo na nyie wanyama
Ww pambana na curfew utumbo mtupu munafuata mqsharti ya bwana zenu waendelee kuwakopesha manake nchi imeshajifia 😆😆😆😆
 
Asante kwa matumaini mengi sana 🤣🤣🤣 toka mobius mumezindua mumemuuzia nani na nani?? Na kampuni imegengeza profit gani?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umetapika vyakutosha uongo mtupu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 isuzu juzi wamwkuja kuomba kuekeza assembly plant tanzania baada kuona biashara kenya imefika kikomo
 
Unatuletea umbea wa kibera. Wewe kama unaleta taarifa ya ukweli, kwanini usilete source ya staarifa yako!?

Simple, without reliable source, tunaita umbea.


Isuzu (changed from GMEA)




Zingine jitafutie kama wapenda umbea sana! 😁
 
Ww pambana na curfew utumbo mtupu munafuata mqsharti ya bwana zenu waendelee kuwakopesha manake nchi imeshajifia 😆😆😆😆
Heri sisi, nyie mabwana zenyu Wachina, hivi si copy za generation ijayo, wabongo watatoka vifupi vifupi!? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…