Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Utility helicopters aka pundaHizi ndude zinawafanya wakenya washindwe kulima na njaa kila siku inawakuta. 🤣 🤣 🤣 Zinamkondesha Uhuru Kenyatta.
View attachment 1756714
View attachment 1756718
View attachment 1756720
Mkenya akisikia bus terminal anarukaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukitoka hapo tuhamie kwenye bus terminals
Sio unatuletea vipicha vya mabus yanayoenda Mombasa nairobi habari imeisha wakati sisi luxury busses ni all over the country Halafu utegemee tutoke draw? No way
Mil Mi-171 & Mil Mi-17V5Leo nataka niwagonge na hii mpaka mnyooke
Tanzania H225M wakenya wanaendelea na flying toilets
View attachment 1756709
View attachment 1756711
View attachment 1756713
Kwaiyo umekubaliana na kauli ya kuwa Tanzania iko more urbanised than kenyaHayo makampuni ya mabasi yatakuwa yanatia kambi yakingoja nani? 😂 Hata akili kidogo tu kutumia kunakushinda!
Angalia tofauti hapo ya Kigoma na Turkana!!!
View attachment 1756674
View attachment 1756675
Ubaya hayo hapo umeweka, sio yenyu. Hayana hata nembo, yenyu hayo hapo juu ya utility 😂😂😂Haya madude yanamfanya Kenyatta aendelee kukopa.
View attachment 1756726
Eti anamuonea huruma mkenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wewe ni mgeni humu, Tukiita vita ni vita. Hawa wakenya huwajui wewe.
Unatakiwa umpige pale panapouma. Hawa ni wajinga mno ukiwachekea.
We c ulikuwa unataka picha ya hiyo midude wewe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86]Hiyo midude ya utility, hamkupatiwa advanced za attack.
Na nikakupa zangu!We c ulikuwa unataka picha ya hiyo midude wewe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mgeni humu, hiyo midege ishaanguka yote hiyo na yameua askari wote waliokuwemo humo [emoji3][emoji3][emoji3]
Oh, nilkuwa sijui ziliisha, pumbaff!!!Wewe mgeni humu, hiyo midege ishaanguka yote hiyo na yameua askari wote waliokuwemo humo [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
A drop in the the oceanUnakujua central?
Hapo chini sio "central" unapopajua wewe! 🤣
View attachment 1756722
Hemingways, Watamu,Malindi County
Naona umezipiga pini kwmb mtu hawezi kuzichukua au kwangu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi ndude akiziona Mama Ngina anaenda kujificha Kibera au Turkana
View attachment 1756771
View attachment 1756775
Au nikuletee picha uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oh, nilkuwa sijui ziliisha, pumbaff!!!