Kwa hivyo hio video niliyokuwekea ya US soldiers wakitumia ndege hii Afghanistan wakiwa vitani hujaitazama? Sasa unataka tuendelee vipi na mjadala kama hutaki kujifunza? Basi unanipotezea muda wangu bure. Wacha yaishe.Mzee hiyo imeandikwa kabisa light. Ni specific kwa ajili ya police kuwinda Fisi na Nungunungu. Au kwaajili ya kutawanya nzige Mzee.
Mzee ujue unaonekana mpumbavu hapa.Yetu inatupa makombora na yenu inabeba watu sasa wewe ndio huoni aibu kucompare transport helicopter na attack helicopter. Kwanza hii MD-500 special forces wa marekani wanaipenda sana maana ni light attack helicopter, wakishambuliwa wanaiita inakuja inafanya mashambulizi.
Nilikuambia kwamba kuna military version ya MD-500 na ukaendelea kupinga na kusema kwamba zote ni civilian.
Soma hapa
McDonnell Douglas MD 500 Defender
The McDonnell Douglas Helicopter Systems MD 500 Defender is a light multi-role military helicopter based on the MD 500 light utility helicopter and OH-6 Cayuse Light Observation Helicopter.
MD 500 Defender An Afghan Air Force MD 530F firing off its gun pods Role Light multi-role military helicopter National origin United States Manufacturer Hughes Helicopters
McDonnell Douglas Helicopter Systems
MD HelicoptersFirst flight 1976 Status In service Primary users Republic of Korea Army
Iraqi Air Force
Israeli Air Force
Philippine Air ForceProduced 1976–present Number built 471 Developed from Hughes OH-6 Cayuse
MD Helicopters MD 500
Kwanza hiyo ya Afghanistan ni MD-530Kwa hivyo hio video niliyokuwekea ya US soldiers wakitumia ndege hii Afghanistan wakiwa vitani hujaitazama? Sasa unataka tuendelee vipi na mjadala kama hutaki kujifunza? Basi unanipotezea muda wangu bure. Wacha yaishe.
Wewe ndio mjinga. Kenya pia tuna MD-530 so usijione mjanja. Soma hapa.Kwanza hiyo ya Afghanistan ni MD-530
also title wameandika light training.
Nikikuita wewe mpumbavu nitakuwa nimekose.
Nimekuambia endelee kuwadanganya mbumbumbu wenzako was Kibera.
Hayo ni makopo rejected mmeletewa.
Ndio maana kila Siku yanaanguka na kuua watu.
You are stupid.
Hii ndio Old NgaraNa old ngara iko wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe wacha ujinga. Unaende kusearch MD-500 ya civilian wakati nimekuwekea ya military? Kwani wewe akili yako maembe huwezi kuelewa kwamba kuna multipurpose helicopters?
Na new ngara iko wapi??🤣🤣🤣Hii ndio Old NgaraView attachment 1755850
Mzee nimekubia kimbia huku na huko.
Mzee ulileta mwenyewe MD-500 nikikubiwa mmepigwa. Utasemaje.Wewe wacha ujinga. Unaende kusearch MD-500 ya civilian wakati nimekuwekea ya military? Kwani wewe akili yako maembe huwezi kuelewa kwamba kuna multipurpose helicopters?
Mimi nakuwekea wikipedia ya MD-500 ya military. Usije ukapost upuuzi unayopost hapa. Unataka kulazimisha kwamba MD zote ni civilian. Wacha ujinga. Hii ya military inaitwa MD-500 defender.
Mimi nilisema MD-500 ziko zaidi ya 30. Sasa mbona unadanganya kwamba nimepunguza idadi? Ni nini mbaya na wewe? MD-530 ndio ziko sita, kulingana na hio article.Mzee nimekubia kimbia huku na huko.
Hivyo unavyoviweka ni toys mbele ya H225M
Hapo umeambiwa light helicopter.
Sasa nikikuita wewe ni mjinga nitakosema unaendelea kupunguza ulisema zipo 30 sasa hivi zimekuwa sita.
Na zile zilizoanguka zinaitwaje!?
Kenya’s military commissioned on Thursday six MD 530F Cayuse Warrior light attack helicopters purchased from the United States.
I said you are stupid.
Kenya spent $32 million, most of which went to upgrading its airpower. Uganda spent $1 million, down from the $9 million it spent in 2018 while Tanzania and Rwanda did not spend on weapons.Hivi unajua maana ya BM wewe. Yaani tayari umeshatulia. Jeshi lenu bado mbatumia mibunduki ya kishamba ya kizamani kwa sababu nchi yenu ni maskini.
Tanzania hua haisemi mambo ya kijeshi hata silaha zake hua hazitangazwi ovyoKenya spent $32 million, most of which went to upgrading its airpower. Uganda spent $1 million, down from the $9 million it spent in 2018 while Tanzania and Rwanda did not spend on weapons.
Halafu hio transport helicopter yenu unayojaribu kuilingana na attack helicopter yetu mnazo chini ya tano. Sasa idadi pia lazima izingatiwe. Tusije tukawa tunalinganisha helicopters zaidi ya 30 na helicopters chini ya 5. Zingatia idadi mzee.Mzee nimekubia kimbia huku na huko.
Hivyo unavyoviweka ni toys mbele ya H225M
Hapo umeambiwa light helicopter.
Sasa nikikuita wewe ni mjinga nitakosema unaendelea kupunguza ulisema zipo 30 sasa hivi zimekuwa sita.
Na zile zilizoanguka zinaitwaje!?
Kenya’s military commissioned on Thursday six MD 530F Cayuse Warrior light attack helicopters purchased from the United States.
I said you are stupid.
Bei ya Airbus H225 Eurocopter ni $ 29.5 Million U.S.Mzee ulileta mwenyewe MD-500 nikikubiwa mmepigwa. Utasemaje.
Twende sasa head to head
Md-530 vs H225M
Unajuwa wewe, mimi sijui!Hahahaha basi nishakuelewa kwamba na wewe ni mmoja wa Kenya Dimwit Force (KDF) haya niambie ktk ile kesi ya mikate uliiba mingapi vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ni moja tu, hamna hela za kununua vifaa bomba, endeleeni kununua za wachina.Tanzania hua haisemi mambo ya kijeshi hata silaha zake hua hazitangazwi ovyo
Mzee pwahahaHalafu hio transport helicopter yenu unayojaribu kuilingana na attack helicopter yetu mnazo chini ya tano. Sasa idadi pia lazima izingatiwe. Tusije tukawa tunalinganisha helicopters zaidi ya 30 na helicopters chini ya 5. Zingatia idadi mzee.