Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Siwezi pitia sababu nimepata info yangu tayari, umetoa chaiHaya ni maonesho ya mwaka 2015.
Sasa unalialia kwa sababu wewe ni mshamba. You dwell in The Kibera Slums.
Pitia hapa link
Kifaru cha Kijeshi, kilichotengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa TZ
Kifaru cha Kijeshi, kilichotengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa TZwww.muungwana.co.tz
Basi nenda ukawasaidie ndugu zako wananjaa.Siwezi pitia sababu nimepata info yangu tayari, umetoa chai
Hii inaitwa BM-30 au PHL-03Siwezi pitia sababu nimepata info yangu tayari, umetoa chai
Hiyo inatupa non-precision ammunition na kwanza haziendi mbali. Kwa hivyo huwezi kulenga maeneo yoyote with 100 % precision. Halafu haitupi kombora zaidi ya 100 km. Nchi chache sana Africa zina precision missiles.Unaijua hii wewe. Tukiiweka Dar inaichakaza Nairobi.
Tunawagonga tukiwa tunapata gahawa.
View attachment 1755655
Hizi pia hazitupi precision-guided missiles. TPLF wana hizi SAMS kadhaa ila walishindwa hata kulenga airport vizuri wakaishia kulipua runwayBasi nenda ukawasaidie ndugu zako wananjaa.
Hii inaitwa SA-3 Goa
Tumezisimika pote mpakani.
Zipo zaidi ya 50
View attachment 1755676View attachment 1755677
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaajabu tukachapa mtu,,,,ila kinachochekesha nyie wenye vifaa hamna msaada wowote hapa africa mpo mpo tuVita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!
Tukiliza kalio wewe.Hiyo inatupa non-precision ammunition na kwanza haziendi mbali. Kwa hivyo huwezi kulenga maeneo yoyote with 100 precision. Halafu haitupi kombora zaidi ya 100 km. Nchi chache sana Africa zina precision missiles.
Sisi tunachotaka ni kuiangamiza Nairobi. Na kuziamgusha ndege zenu.Hizi pia hazitupi precision-guided missiles. TPLF wana hizi SAMS kadhaa ila walishindwa hata kulenga airport vizuri wakaishia kulipua runway
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaona sasa mambo yako yaani akili yako ni yakiandazi sana......Hizo ni peace keeping missions, wacha utopolo ka hukuenda shule. Aliyekwambia ni vita ni nani, yaani hata kusoma kumekushinda! [emoji1787]
Tunaipandisha tu mlima Kilimanjaro tunajipigia kanairobi kama tunacheza game vile! 😀 😀 😀 😀Unaijua hii wewe. Tukiiweka Dar inaichakaza Nairobi.
Tunawagonga tukiwa tunapata gahawa.
View attachment 1755655
Weapons zenu ni kama tu za Ethiopia. Hamna kitu hapo. Hio BM-27 inatupa non-precision missiles. Precision-guided missiles ndio hatari na hio hamna.Tukiliza kalio wewe.
Nitakupa maelezo tunaanza na hii kwanza BM-27
View attachment 1755681View attachment 1755682
Surface to air missile👍👍Hii inaitwa BM-30 au PHL-03
ballistic missile. Zipo zaidi ya 50.
Ukiiona Tanzania tumetulia ujue tunaogopeka sana.
View attachment 1755679View attachment 1755680
Hizo ni non-precision missiles. Ukirusha ni kama kucheza bahati nasibu. Inaweza kuangukia Arusha au Kampala badala ya Nairobi.Tunaipandisha tu mlima Kilimanjaro tunajipigia kanairobi kama tunacheza game vile! 😀 😀 😀 😀
Hio ni surface to surface missileSurface to air missile👍👍
Hivi unajua maana ya BM wewe. Yaani tayari umeshatulia. Jeshi lenu bado mbatumia mibunduki ya kishamba ya kizamani kwa sababu nchi yenu ni maskini.Hizo ni non-precision missiles. Ukirusha na kama kucheza bahati nasibu. Inaweza kuangukia Arusha au Kampala badala ya Nairobi.
Uongo nenda kajifunze surface to surface missile kijana. Wewe endelea na kazi yako ya u Cashier. Itakusaidia sana. Au Kanzi ya Account imekushinda!?Hio ni surface to surface missile
Hahahaha basi nishakuelewa kwamba na wewe ni mmoja wa Kenya Dimwit Force (KDF) haya niambie ktk ile kesi ya mikate uliiba mingapi vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njooni Somalia, tucheze kamari ka mwaweza, hata UG iliwashinda kitambo, wana experience ya kutosha mbone, wako huku pia. Jileteni vijana, tuchape kazi za kiume, kufa gari, kufa dereva! Wacheni kujificha makambini huko! Dadeki!
Wakenya oneni askari wa Kenya anavyopata tabu kuamini mafanikio ya kijeshi tuliyoyafikia Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushafanya editing tayari, nishakunusa kitambo tu! [emoji1787]