Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Naona umechukua nafasi ya wanjala maana sioni kitu kipya hapo😀😀😀😀😀😀and they dare compare themselves to us...these niggas be mad! Nairobi is on top....only matched by Cape Town, Johannesburg, Cairo, Tunis, Casablanca finish!
😀😀😀😀 povuuuuuuHio sasa isiolo airport better
sent from iPhone 7
nipe list yako kaka...top african cities...pengine sijakuelewaNaona umechukua nafasi ya wanjala maana sioni kitu kipya hapo😀😀😀😀😀😀
Lakini za kariakoo hazina any architectural designs nikama kisiiMbona picha ulizoweka ni za kwaida sana!?
Kariakoo sio size yako nilishakwambia toka mwanzo😀😀😀😀😀😀Lakini za kariakoo hazina any architectural designs nikama kisii
sent from iPhone 7
Size tu ndio unajua....naongelea architectureKariakoo sio size yako nilishakwambia toka mwanzo😀😀😀😀😀😀
simba yule bado ni mchanga kiumri na picha ile ilichukuliwa miaka mitano iliyopita...sasa sijui umejuaje ni droughtHuyo simba kakonda kwa ajili ya njaa
😀😀😀😀😀😀
Nyie mnajiita DC mbona kawaida sana. Tunawapiga za puwa sisi LDC
Nataka photo kama hii yenye cbd kwa background nkuheshimu toka leoNyie majengo mangapi? mbona hayafiki hata mawili. Nyie mpo na jengo moja tu.