Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lapsset
Expressway
Western bypass
Mombasa-mariakani highway
Brt nairobi
Konza technopolis

Na kadhalika.
Express way ya mchina au unazungumzia ipi ww unazungumzia kitu ambacho ni miliko ya mchina kwa 30 yrs na pain mutaikuta kaenye toll ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, where is lappset over 6 yrs now and lamu is over 10 yrs ziko wapi??
Uhehehhehehhe eti BRT nairobi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ we huoni hata wenzako hawashuguliki kutaja BRT, konza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… over 10 yrs now ni nini mumejenga konza ambayo ina atleast 5% of the render ???
 
You are the one doesn't have brains,, look at this render

Hii ndio BRT ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mbona wenzako wako kimya kuna nn au kuna jambo mushaliona haliendani na hadhi yenu
wacha wivu wacha wamalize ujione..by the way unajua expressway litakua na BRT?..Tushawajua nyinyi..waga muko wanafiki sana..si ni juzi mlikua mnacheka wakenya pamoja na ndege zao venye zinafanya hasara..juzi ripoti ya CAG..imetolewa..tumejuwa venye nchi lenu limeoza.serikali lenu linawabeba kama maembe na bado muko na roho ya kucheka...SMH..
 
Utajua hujui,wacha imalizike ntajaza server ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hii ndio BRT ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mbona wenzako wako kimya kuna nn au kuna jambo mushaliona haliendani na hadhi yenu
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ wivu kwenye huo ushuzi hvi wewe unafkiri BRT ni kama kula githeri, expreway ya mchina ambayo pain mutaikuta kwenye toll 30yrs
CAG...rudi ukasome CAG....bado nitakukumbusha hadi uerevuke...
 
Expressway ๐Ÿ˜œ
 

Uliskia wapi kwamba umuhimu wa mradi unatokana na bei yake, hio miradi nilioandika yana impact KUBWA sana kwenye Africa nzima.
 
Wamevuliwa chupi na CAG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ wivu kwenye huo ushuzi hvi wewe unafkiri BRT ni kama kula githeri, expreway ya mchina ambayo pain mutaikuta kwenye toll 30yrs
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ugua pole, katapika nyongo
 
Wamevuliwa chupi na CAG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wamevuliwa chupi na CAG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naskia walinunua ndege cash na ni zaidi ya miaka tano bila kupata profit ata ya kununua kitunguu ama tomato..hio biashara waifunge tu..waendeleze SGR yao..
 
Uliskia wapi kwamba umuhimu wa mradi unatokana na bei yake, hio miradi nilioandika yana impact KUBWA sana kwenye Africa nzima.
Tunazungumzia miradi mingi na yenye thamani kubwa hapa EA, Tanzania tunaongoza tena kwa mbali sana.

By the way, hakuna hata mradi mmoja wenye impact kubwa kwa Kenya, yote hii ni miradi itakayoumiza wananchi wa Kenya, hiyo Express highway ni mradi wa kuwalipisha pesa wakenya, what is the impact of your fake BRT for Afrika, or Mombasa Mariakani high way for Afrika, even for Kisumu citizens?
 

wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, kabishane na magufuli ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mavi yamegonga chupi
Kweli kabisa mavi yamegonga chupi, Uganda ambayo ndio wanayosema ndio ndugu wao wa damu na "the biggest bussines partner" Leo tena sio muhimu?, muda sio mrefu watasema Ethiopia sio muhimu, sasa hivi kipaumbele ni kufanya biashara na Alshabaab.
 

Hivi majuzi AU waliupokea mradi wa Lapsset kama mradi muhimu bara nzima- tunaongelea lamu port, resort cities, airports, railway lines, pipeline etc. Nipe mradi wenu mmoja wenye nusu ya hadhi ya lapsset????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ