Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iko na 10 k downloads pekee na ni kubwa tz yote
Huna lolo maana wewe ni mpuuzi. Kila kona unagongwa tu. Umebaki kulia lia kama mtoto. Mnadanganywa kwenu huko kuhusu Tz na hapa we want prove you wrong.
 
Dar is still a regional city. Nairobi is an international City Very many international brands can be found in Nairobi but you can't spot them in Dar. For example Dar hakuna any Adidas store but Nairobi iko.
 
Are you sure?
 
In what way will you prove me wrong when am confirming the reality
Acheni utoto. Nothing is special kwenye ulimwengu ambao ni kama kijiji.
Unadhani kuna kipi kipo Nairobi cha maana zaidi!? Nimekieleza kwamba wewe huna exposure ndio maana unapiga kelele ovyo ovyo.
Mambo ya Apps ni vitu simple mno, maana templates zipo free. Kazi yako ni kuandika vi codes vichache tu.
 
From international food chains to clothes to cars. Kunazo mingi sana huku but hazijasetup anywhere in East Africa apart from 254.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…