Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simba kupata points 3 za bure
kama hio timu ya Sudan haitaondolewa, na simba kupewa points 3, msimamo utakuwa hiv
Simba SC 9
As Vita 4
Al Ahly 4

na kama hio timu ya Sudan itaondolewa, bas msimamo utakuwa hiv
Simba SC 6
As Vita 1
Al Ahly 1
 
Waliopiga kura ni watalii wa dunia nzima sio mm😁😁😁 wewe unanilaumu mm kama vile mm nina makosa nimekwambia nitajie kitu kimoja tu ambacho sychelles kipo na zanzibar hakuna unaanza kulia tena wewe vipi bro unakwama wapi 😆😆😆

wewe kulichokuumiza kwanini zanzibar ishinde 😄😄👇👇👇
 
Ona fikra zako zilizo za kiboya[emoji23][emoji23][emoji28], nikama umelemaa akili, chochote unachofikiria ndio basi, jibambe ba mzee, inakubalika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28],
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…