Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watch it na hata msingi hamna?
This thing ilianza construction kitambo, been in Mombasa severally lazima upitie pale from airport, SGR terminus or Nairobi by road ukiingia Mombasa.,


Few pictures of construction.,
Kwa Jomvu junction, next to the interchange


Tunnel


Fuatilia those who are up to date na progress wakujuze.,

Screenshot from skyscraper., Mombasa diehards..,







 
Kwn wakati tunapowaambia mombasa siku hizi mambo yanafanyika kimya ilikua hujui watu wanamaana gani
Hakuna latest updates kwa internet, nimepita hapo severally but didn't take the pics, the tunnels look they are going to better za pangani., pillars pia zimesimama., Kazi ni day and night, guess Uhuru anataka ikamilike before aondoke., will get the pictures soon.,
 
Miaka inayokuja naona kw jomvu na changamwe watu watanunua majengo yote ya chini alafu wayavunje wainue vitu vya mana..

Manake sio kw barabara hizi
 
Aawapii kinachojengwa si kilicho kwenye picha! huihitaji rocket science kung'amua!
Unataka kuniambia huu mferehi utakuwa ile underpass kwenye picha?
 
Tatizo sehemu za kwa jomvu kumepoa sana ndio manake unakuta hata upatikanaji wa picha mitandaoni ni ngumu
 
Kuna wakati tumesema Mombasa inakuja kimya kimya., mtashangaa.,watch it
Hakuna uwezekano wowote wa nyinyi kujenga hyo interchange na msiote kabisa hata km mnajenga ila haiwezi hata kufanana na hiyo cz tunawajua kelele nyingi hamna kitu,hivi nyie mjenge interchange ya hivyo alafu msipost progress humu? Mmejenga ka expressway tu 27km kwa msaada wa jamuhuri ya watu wa China mkapiga kelele dunia nzima ikasikia.

Hamtajenga interchange km hiyo au hata km ya Ubungo, na ndiyo maana mnaona aibu kupost progress humu [emoji3][emoji3][emoji3]

Yani mkenya ajenge kitu watu wasijue, uliwahi kusikia wapi iyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aawapii kinachojengwa si kilicho kwenye picha! huihitaji rocket science kung'amua!
Unataka kuniambia huu mferehi utakuwa ile underpass kwenye picha?
Hehehe!!mzee punguza jazba, manake sio povu hilo unalotoa..
Subiri changamwe interchange ije iwachanganye
 
Povu la mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiria interchange ikamilike ndio uje uteseke vizuri
 
Naona umeshikwa na ugonjwa wa ichoboy01., [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], yeye na wengine humu walisema vile kuhusu PPP expressway, ndio maana watu waliweka humu kwa mpigo to prove nay sayers wrong, sasa vile mnadai ya Mombasa mtapata dawa., Wewe fanya utafiti kivyako ujionee mwenyewe., am going to ask my friends in Mombasa who passes those sides wanitumie updated pics.
 
Kwahiyo ndo hii au co? Hahahahaaa nme save render ili nije kucheka baadaye mana progress inaonekana ni ubabaishaji as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aawapii kinachojengwa si kilicho kwenye picha! huihitaji rocket science kung'amua!
Unataka kuniambia huu mferehi utakuwa ile underpass kwenye picha?
This is part of the road, not at the junction but connecting to the junction, these aren't latest pics., Tulia will post here pics when I get them..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…