Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

saa hizi umeshasahau sisi si capitalist nation[emoji23][emoji23][emoji23].

kwanini mna akili zenye ram ndogo hivi??
Mkondo mliochukua ni capitalism, kwani hauna picha? unaishi wapi wewe.., ujamaa haipo, ni effects tu zimebaki, Kama ukarimu wa kinafiki na uzembe.
 
Mkunya sio mstaarabu asikwambie mtu nimeshasema mara nyingi amejaaliwa roho ya husuda,ukitaka dharau,majivuno ya kijinga na etc kaa naye utamuelewa tu, huaga wanaona wako special kushinda wote🙂
Labda special kwa kulamba miguu ya wazungu na uroboti wa kutumikishwa na wazungu (Vibaraka). Apart from that most Kenyans are total mediocre!
 
Labda special kwa kulamba miguu ya wazungu na uroboti wa kutumikishwa na wazungu (Vibaraka). Apart from that most Kenyans are total mediocre!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]fafanua maana ya mediocre[emoji848]., and in context...,[emoji28][emoji28].,

Uhali gani kaka., toa strategy ya kuvuna, si waelewa.., pale base.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]fafanua maana ya mediocre[emoji848]., and in context...,[emoji28][emoji28].,

Uhali gani kaka., toa strategy ya kuvuna, si waelewa.., pale base.
Nenda kaangalie kwa dictionary then choose the definition of mediocre that suits you Kenyans best. 😃 😃 😃 Mambo mengine poa tu ila kama kawaida mna roho ngumu sana za dhuluma hadi kwenye yale mambo yetu!
 
Nenda kaangalie kwa dictionary then choose the definition of mediocre that suits you Kenyans best. [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mambo mengine poa tu ila kama kawaida mna roho ngumu sana za dhuluma hadi kwenye yale mambo yetu!
Kivipi?., elewa dunia usilaumu mtu., Umechezwa?
 
Wewe sijui umenielewa au umekimbilia kuarisha maneno? Kama hujapata point ntarudia tena you kunyans are very selfish and like exploiting others mda sio mrefu mtaelewa kwanini huaga tunawaita failed state 🙂
 
Alafu mbn ujenzi wenu huwa unakuwa jua kali hivi hasa wanapojenga engineers wa kikenya, tukisema elimu imeshindwa kumsaidia mkenya mnalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe sijui umenielewa au umekimbilia kuarisha maneno? Kama hujapata point ntarudia tena you kunyans are very selfish and like exploiting others mda sio mrefu mtaelewa kwanini huaga tunawaita failed state [emoji846]
Blind patriotism inakusumbua, hauwezi fikiria kamwe., it is clouding your judgement, sasa ni wivu na chuki tu, kwa hili swala la mahindi napenda maoni ya wakulima not city slum dweller kama wewe.,
Be my guest, zako humu ni utoto na kelele za chura[emoji28][emoji23][emoji28], wacha hasira nanii[emoji23].,
See how serious people from Tz reacted, wacha shabiki za kitoto and try to reason;





 
Alafu mbn ujenzi wenu huwa unakuwa jua kali hivi hasa wanapojenga engineers wa kikenya, tukisema elimu imeshindwa kumsaidia mkenya mnalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kazi bado., utapata taabu sana [emoji23]., ni Dar only in Tz.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…