Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mmoja amebobea sana katika hiyo tasnia jina lake Venus Star huyo mpaka kiberiti ataposti.
Kuna mda hapa wazee wa chato walikomaa sana kutupostia maziwa, yani walivyokua washamba kila kampuni ikiibuka inamalizia na fresh hko mbele mpka wakaniacha hoi..
 
Gerd itakamilika tu na sisi ndio tutakuwa customer wa kwanza. Hatuna haja ya kununua umeme kutoka kwa majirani wa kusini wenye wivu.
 
Gerd itakamilika tu na sisi ndio tutakuwa customer wa kwanza. Hatuna haja ya kununua umeme kutoka kwa majira wa kusini wenye wivu.
wivu? sisi au nyie mna wivu wa mpaka kutengeneza stats za kupika ati Kenya ina 70 vehicles per capita na Tanzania ina 7 vehicles per capita! Angalia miradi ya kifalafala isiyokuwa planned ahead! Kisa Mchina katoa mkopo!

 
Ebu mweleze Kayole hiyo

 

with the colors of our flag
 

Attachments

  • 1613814438877.png
    28.9 KB · Views: 18
If this is a wealthy neighborhood in Mwanza then you don't even deserve to speak in front of Thika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…