With 71000 students and most def main campus accounts for over 50k slots. UDOM is planning to have that 50k by 2025.
jibu swali nililokuuliza wacha maneno mengiπππππππSoma hapo juu nimekwambia nyinyi ni shamba tu kubwa vile we hujivunia boundary ya dar but productivity number bado munaisoma.
hio ya aga khan ni hatari na ni project kubwa sana arushaThe capacity of UDOM is more than 50,000 students in a single campus ...whats the capacity of ur biggest university? Kwa campus moja
Na bado Agakhan wanashusha 1billion USD university in Arusha ..na kingine Dar. Sam Njuoma Rd
hio ya aga khan ni hatari na ni project kubwa sana arusha
aga khan aki invest bongolala inakubalika. lakini aki invest Kenya tu ni shida... au sio?hio ya aga khan ni hatari na ni project kubwa sana arusha
mimi niliwaonya huu mwaka ni 2017 sio 90sπππππSana yani ...na wanajenga university nyingine sam njuoma road beside new Ppf Hq
sisi hatusemi chetu kama nyie munavojisifia πππππππaga khan aki invest bongolala inakubalika. lakini aki invest Kenya tu ni shida... au sio?
hio ya aga khan ni hatari na ni project kubwa sana arusha
hio kizungu ya JSO ilikuwa fast. awa jamaa walikuwa waezi absorbTanzanian universities hakuna kitu huko....Zain Africa challenge they performed the worst. .............I Can bring some embarassing clips over here
naskia wanajenga karibia na uwanja wa sabasaba dodomaNaomba tuciende kwenye New Dodoma Stadium ..maana itakua ina capacity kubwa sana
The proposed one is 90,000 seats spectators
Same size as Wembley Stadium
2nd biggest in Africa After 94,000 seater Soccer city. JHB
Facilities ziko shwari kabisa, that's why University 4 za Kenya ziko ranked ahead of you. Capacity lazima ziwe kubwa because the demand for higher education huku iko juu zaidii compared to your country.Cio is planning hamna wanafunzi wakufika size hio sasa hiv ..ila majengo na facility za ku accomodate zipo ..kumbuka UDOM imejengwa na funds kutoka 5 pension funds NSsf, pspf ,lapf ,ppf
english sio elimu ni lugha tu kama kujaluoππππππhio kizungu ya JSO ilikuwa fast. awa jamaa walikuwa waezi absorb
Soma hapo ..triple size of UDSM when UDOM opened ..in 2007 kumbuka hio ni campus moja na bado kuna hectare 6000 znasubir
biggest and modern medical university in east and central africa, anaebisha yupoNew Muhas Campus 25 km from main cbd
571 beds
Capacity for enrollment 4000
Facilities ziko shwari kabisa, that's why University 4 za Kenya ziko ranked ahead of you. Capacity lazima ziwe kubwa because the demand for higher education huku iko juu zaidii compared to your country.
hahaha umechange topic nowπππππππwajinga hata ukiunda tower wasomee hakuna mahali wataenda......Most universities have modern buildings way better than Harvard and Oxford but Will never beat these two......hiyo udomo university is not known for anything beyond Tanzania
wajinga hata ukiunda tower wasomee hakuna mahali wataenda......Most universities have modern buildings way better than Harvard and Oxford but Will never beat these two......hiyo udomo university is not known for anything beyond Tanzania