Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe!!majengo mengi marefu mombasa hayakufunguliwa nyuzi, au unapinga muarabu koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnajitahidi kuipamba hyo road ili muweke ulinganifu na train ya umeme lkn wapii ngoma inagoma, haziwezi kulingana, yn mradi wa zaidi ya $10b hauwezi fananishwa na mradi wa $0.6b[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bwahahaha!!we ndio unalinganisha manake umekosa cha kulinganisha nacho[emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe!!majengo mengi marefu mombasa hayakufunguliwa nyuzi, au unapinga muarabu koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so hayo majengi ni invisible yanajengewa mbinguni alaf yanashushwa kama malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…