Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kodi pia watalipia wachina sio[emoji1787][emoji1787]
Narudia tena, unatesekea wapi jomba!!jieleze tu jamani
Mnajitahidi kuipamba hyo road ili muweke ulinganifu na train ya umeme lkn wapii ngoma inagoma, haziwezi kulingana, yn mradi wa zaidi ya $10b hauwezi fananishwa na mradi wa $0.6b[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lengo la Magu linakwenda kutimia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tujionee uzinduzi wa nn 🤣🤣🤣🤣 uahahhahahahh leo nacheka sana kwamba mombasa haina hyping kama nairobi

majengo yakiiinuka hayaonekani manake yanakua invisible 😁😁😁😁😁😁
 
Inakaa kama Rwanda wame-change idea! Mbona siwaskii tena?
Wame changie deal ili wapitie route ya Uganda their arch enermy in the region?

That will never happen, it is also easier for them to achieve their objectives if they connect with Tanzania SGR considering that Uganda bado hawajaanza kujenga kuelekea border ya Rwanda na kuekekea upande wa border ya Kenya, all ni approx 700 km. Wakati upande wetu unakaribia kumalizika, Rwanda only need to connect themselves to our border roughly 165 km then we will link them at Isaka which around 300 km.
 
Ila Kagame is not predictable sidhani kama amefurahia kuona JPM kafufua Air Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…