Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa barabara tuu ahhh.... Nairobi wako juu balaa we appreciate that but sio kwamba na sisi tunatembea kwnye vumbi walaa...
tuna tu_tower tuwili na tu_mwendokasi na haka kabarabara tu_five Lane

 
Meanwhile ile ariel view ya BRT pass hapa ndo horizontal view, this place is manzese miaka hiyoo it was named as Soweto of Dar
but now.... ni habari nyngn
 
we should call on the mods to close this page ju awa wenzetu wameishiwa comebacks. all i see is NAIROBI NAIROBI NAIROBI NAIROBI NAIROBI NAIROBI. i guess picha ziliisha darislum. city ya tower mbili. 😀 😀 😀
unataka na sisi tuwe tuna repost picha kama mnavyo-repost picha za Nairobi zilizo chukuliwa toka angle tofauti?.

kama shida ni hiyo,basi usijari.picha tunazo nyingi sana.
 
the best and the famous reggae music group in the world,morgan heritage showing their appreciation to diamond plutnumz,artist from an LDC country.

watu wa DC and food shortage country naona vile mlivyo na hasira.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
game over, kuhusu udom tegemea povu jingi toka kwa watu wa nchi yenye uhaba chakula.
Tena ukiongeza na stress za Kulala bila kula..Now wako busy kuscreenshot soon watakuja na mapichapicha ya Kenyatta University na povu,
Many Kenyans are broke.
 
Tena ukiongeza na stress za Kulala bila kula..Now wako busy kuscreenshot soon watakuja na mapichapicha ya Kenyatta University na povu,
Many Kenyans are broke.
View attachment 535809
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MR Game over.....your level of bitterness and carefully selected photos wont pull you out of the least developed country category.....and get it into your thick big head that 5 kenyan universities rank above your best college university of dar.Udom is not even in top 100.....universities are ranked on brains and impacts to society
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…