Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We mpuuzi nn, tender ilitangazwa aliyestahili kashinda ss unataka kuongea nn.
Anayetaka tender kwn hupiga simu akopeshwe[emoji1787][emoji1787]
Na mbona mtangaze tender na wakati mko na european standards tayari
 
With only 10 yrs of hard working [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]
 
Nioneshe nchi inayotumia bullet kubeba double stack ili nifunge accnt jf [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]
Bwahaha!!swai nilikowauliza nyinyi hivi leo unalitumia kutoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa hutoki, subiria hilo swali linakuja soon
 
Km ile yenu mliojengewa na serekali na bdo mnatozwa kodi, hata sisi tutalipia hvo hvo[emoji1787][emoji1787]
 
Bwahaha!!swai nilikowauliza nyinyi hivi leo unalitumia kutoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa hutoki, subiria hilo swali linakuja soon
Hapo ni kwa ajili ya abiria tu, so kuhusu freight wait n see [emoji3][emoji3][emoji3]
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Haitopata kabisa, tena sahau[emoji1787][emoji1787]
Mombasa hatuna street za one way ulivoona kibano ukaona utokee kwengine hapa hutoki mzeeeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
siyo upole buo ndiyo ukweli mambo yapo tofauti,siasa ya kenya haifanani na tanzania pia siasa ya Tsnzania haifanani na ya kenya...
Ka quote na mwenzako ile ya migori ujibu hvi hvi basi ndio nione km sio unafiki
 
Km ile yenu mliojengewa na serekali na bdo mnatozwa kodi, hata sisi tutalipia hvo hvo[emoji1787][emoji1787]
Si bora hio pesa zinarudi serekalini na ajira zinaenda kwa watanzania hio ya mchina pesa zinaenda wapi???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na ajira zinaenda kwa nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…