Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sinilisema lazma ataokota picha za google nilijua tu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Siku ukithibitisha hapo ni dar sehemu gani nitag mm nifunge acc jamii forumπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wachana na KIBERA YETU iko sehemu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kuishughulikia ni rahisi, nyie mashambani na umasikini umetapakaa kote kote, hauwezi ficha, mgeni akija poverty is too open, unaona tu watu wanavyo kaa na makazi kila mahali, mtu anaeza dhani ako mashambani, sehemu za kimasikini, sio tu mashambani ya kawaida, prove me wrong., bro jengeni kwanza wacha sisi tushughulikie ya kwetu, u are getting worse than Ethiopia!!!

 
Thibitisha hapa ni dar mm nifunge acc jamii forum sasa hvi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mzungu hana akili au sio yani wanaokula githeri wanaakili sana ndio maana wanakimbilia kuokota picha za google wanaposhindwa 😁😁😁😁😁
 
Siku ukithibitisha hapo ni dar sehemu gani nitag mm nifunge acc jamii forumπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wewe hauwezi hama jf kamwe, utabadilisha ID mwehu, Expressway ni dhibitisho, kwa hili wewe utapinga hadi mwisho wa maisha yako hapa duniani., hakuna ukweli unao onyesha uchi wa Tanzania utaukubali, nakuelewa wewe Mwehu., ukitaka lia, it is what it is., wewe najua unatoka kati ya haya village like houses, with latrines (vyoo vya shimo), fikra zako zinakuuzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kojoa ulale wacha kulia lia., wewe ngojeea train ya umeme.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo slums hizo kaweka [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha kwanza atuelekeze hapa ni dar sehem gani muache kwanza πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Thibitisha hapa ni dar mzee ukipata hio ni dar sehem gani kuna nyumba za mabati mm nafunga acc jamii forum sasa hvi πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mm nilijua lazma ukaokote picha za google alaf upost ili upunguze hasira zako nilisema kabla hujapost πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Okota na zingine tena tufurahi 🀣🀣🀣🀣 ili walau upunguze hasira manake inauma sana
 
Ww kitu uko nacho ni excuses zisizo na manaa....Dar hata uichukie hairudi nyumba mbele daima
 
Ww kitu uko nacho ni excuses zisizo na manaa....Dar hata uichukie hairudi nyumba mbele daima
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 acha atulize hasira zake kwa kuokota picha za google manake ndio kimbilio waliobaki nalo
 
Ndo slums hizo kaweka [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dar hakuna slums, pia mimi nimeshuhudia kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, haya hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡sio slums, ni normal housing ya 80% ya residents wa Dar.,hakuna makao duni Dar, it is the most devekloped city in EAC., pia mimi naona vizuri sana bro.,




Naona BRT inawapeleka hadi kwa mlango nyumbani, kwanza wewe..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…