Kwa hivyo wewe ulikuja kuishi Nairobi kwa nini kama Nairobi ni slum? Ona huyu mjinga. Si ungebaki huko kwenu ambako hakuna slums ule maziwa na asali ya CCM. Unakuja kwa slum kufanya nini?Mkuu kariobangi naifaham Sana nimefika pande hizo imegawanyika,north,south, light industries ,city council housing, hapo alipo achia picha nikaribu na outering estate upande huo mwingine kama unaelekea umoja caltex,mpaka embakasi🙂kariobangi South kidogo kuna mpangilio huko kwingine kote upande wa kariobangi informal settlements A.k.a slums
Hakuna apartment hata moja kwenye hio picha. Unatuonyesha office block badala ya apartment. Ona huyu wazimu.Au nasema urongooo🤣🤣👇👇View attachment 1692952
we wa kunitaa mjinga kweli? Siwezi nikakutukana siko hivo jirani yangu🙂 Kuna sehemu umeskia nimesema Nairobi mzima imekaa slum? Kweli? Mbona Nairobi kuna sehemu kumekaa vizuri Hilo Mimi sibishi maana Nairobi naijua vizuri Ila hapa tunaongelea swala la slum🙂Mimi nlikua kwa ajili ya kazi kuna sehemu nyingi Nairobi kumejaa nyumba nzuri tu lakini asilimia kubwa ya estates upande wa pili kuna slum🙂Kwa hivyo wewe ulikuja kuishi Nairobi kwa nini kama Nairobi ni slum? Ona huyu mjinga. Si ungebaki huko kwenu ambako hakuna slums ule maziwa na asali ya CCM. Unakuja kwa slum kufanya nini?
Mfano runda beautiful and one of expensive suburbs nyuma slum🙂we wa kunitaa mjinga kweli? Siwezi nikakutukana siko hivo jirani yangu🙂 Kuna sehemu umeskia nimesema Nairobi mzima imekaa slum? Kweli? Mbona Nairobi kuna sehemu kumekaa vizuri Hilo Mimi sibishi maana Nairobi naijua vizuri Ila hapa tunaongelea swala la slum🙂Mimi nlikua kwa ajili ya kazi kuna sehemu nyingi Nairobi kumejaa nyumba nzuri tu lakini asilimia kubwa ya estates upande wa pili kuna slum🙂
jana kuna mtu alikuwa anajitamba ujenzi wa viwanja vya soccer 12, viko wapi?Hii sio apartment mzee. Wacha ushamba.
🤣🤣🤣🤣 we did this years agoTanzania and Mozambique is fiber optic connected!