Unamaana ardhi za developed cities huaga ni za ghorofa sio[emoji2960][emoji2960]Tofaut ya new york na city zetu ni kitu kimoja, newyork ni developed city wakat za kwetu ni developing city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni sawa na mbingu na ardhi
Dar imeizidi kibera kw akili zao mgando wala sio nairobi kw ujumla[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibera huwa ni kitulizo cha maumivu kwao. Kila wanapogusiwa hoja na wakose jibu, wote wanakimbia hadi kibera kama nyumbu angalau kujifariji [emoji23] [emoji23] Huwa nabaki nikicheka most of the time
Umesema ukweli engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MGR [emoji1241] = old SGR [emoji1139]
Au nasema urongoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Kama haya ni maneno matup basi ungekuwa bongo ningekupeleka mirembe...kuna tatizo kwa ubongo wako,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hoja kwisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umebaki na maneno ya khanga tu[emoji2960]
Umekasirika[emoji1787][emoji1787]Kwenu kuna mpangilio? na kama upo je slums hzi zote zinatoka wapi mbinguni au??[emoji116][emoji116][emoji1787] Au mzungu anawaoneaView attachment 1692874
[emoji3][emoji3]basi leo hulali.Wewe endelea kuteseka na kupiga kelele. Wengine wenu washajua ukweli iko wapi
Uliyemuazima akili zako nakwambia karogwa kafa[emoji1787][emoji1787]Kama haya ni maneno matup basi ungekuwa bongo ningekupeleka mirembe...kuna tatizo kwa ubongo wako,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1692886
At times, I do think that they only compare Dar with Kibera. Wametafuta kitu cha kulinganisha na Dar from Nairobi wakakosa and the closest they found is KiberaDar imeizidi kibera kw akili zao mgando wala sio nairobi kw ujumla[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo hapo basi hawatokubali, jama kaletewa eastlands naona katamauka
Yani kila siku wanatafuta lkn zii, lkn tuwaache waendelee kujioumbaza tu.At times, I do think that they only compare Dar with Kibera. Wametafuta kitu cha kulinganisha na Dar from Nairobi wakakosa and the closest they found is Kibera
Jibu swali nililokuuliza 🤣🤣👇👇👇Wewe endelea kuteseka na kupiga kelele. Wengine wenu washajua ukweli iko wapi
Kwenu kuna mpangilio? na kama upo je slums hzi zote zinatoka wapi mbinguni au??👇👇🤣 Au mzungu anawaoneaView attachment 1692874
So hapo imetajwa kibera pekee au??🤣🤣👇 nairobi kuna slums hazipungui 40 sasa kwann unaionea kubera tuKibera huwa ni kitulizo cha maumivu kwao. Kila wanapogusiwa hoja na wakose jibu, wote wanakimbia hadi kibera kama nyumbu angalau kujifariji 😂 😂 Huwa nabaki nikicheka most of the time
Asante kwa kukasirika🤣🤣Umesema ukweli engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unalinganisha mpangilio wa masaki na kibera kisha unakuja kujisifia hapa[emoji1787][emoji1787]Jibu swali nililokuuliza [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
So density ya gorofa newyork utafananisha na nairobi au dar??? Hebu tuanzie hapo😀😀Unamaana ardhi za developed cities huaga ni za ghorofa sio[emoji2960][emoji2960]
Huaga zina layers ndio manake zina watu wengi lkn ardhi ndogo sio, watu wanaishi kw layers[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] embu weka iyo hoja ..kama sio ushuzi huna tofauti na ilo genge la wahuni...eti wanajesh[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]Uliyemuazima akili zako nakwambia karogwa kafa[emoji1787][emoji1787]
Ndio manake ukipigwa kw hoja unazunguka zunguka tu hku ukitafuta pa kutokea
So kibera ipo jahanam au nairobi au hauitaki 🤣🤣🤣🤣🤣Unalinganisha mpangilio wa masaki na kibera kisha unakuja kujisifia hapa[emoji1787][emoji1787]
Emu leta wa tandale kw tumbo tulinganishe na kibera
Hehehe!!sasa mbna mnakataa wakenya waishi kw appartments na kumbe developed cities zimejaa[emoji1787][emoji1787]So density ya gorofa newyork utafananisha na nairobi au dar??? Hebu tuanzie hapo[emoji3][emoji3]
So mzungu hana akili aone slums nairobi asione dar 🤣🤣👇👇👇👇Umekasirika[emoji1787][emoji1787]
Dar inazidi slums tu lkn sio nairobi kw ujumla[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
We nishakurusha akili tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] embu weka iyo hoja ..kama sio ushuzi huna tofauti na ilo genge la wahuni...eti wanajesh[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1692894
Kwa density gani mlionayo zaidi ya misitu manake density hazionekani au invisible 🤣🤣 so unataka leo kujidanganya nairobi ina magorofa mengi kuliko dar?? Hebu leo nijibu hili swaliHehehe!!sasa mbna mnakataa wakenya waishi kw appartments na kumbe developed cities zimejaa[emoji1787][emoji1787]
Ukweli ni appartments zimejaa nairobi kuliko dar