Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kuwa mpuuzi Dangote cement alone in Mtwara ina-consume 50MW of electricity aside the port activities in Mtwara! What about Gas exploration activities?
Wewe ndio hujielewi. Dangote anatumia gas. Hatumii umeme wa grid.
 
February 1, 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Habari Njema, Dawa ya Covid-19 yapatikana


Kutoka Tanzania, dawa ya tiba asili kupambana na Covid-19 yapatikana. Waziri wa Afya Dorothy Onesphoro Gwajima na waziri mdogo Dr. Godwin Oloyce Mollel wakinywa moja ya Tiba Asili iliyopitishwa na Baraza la Tiba Asili Tanzania pamoja na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu.

Read More :

Traditional and alternative medicine products in Tanzania​

 
Matumizi ya ngazi za umeme nayo huchangia sana energy consumption.
Ujenzi wa uwanja wa mpira, sgr station, uwanja wa ndege vita boost matumizi ya umeme dodoma,
Hapo bado malls na majengo mapya yanayojengwa.

Yeah elevators na etc zinafuja sana ..hospitals pia (laundry machines,theaters,heaters ..so completion of zonal hospitals ..si ajabu unakuta hosp kma mloganzila inatumia hata 2mw -3mw
 
So akitumia off grid matumizi yanakuwa uncountable? Artumas/Wentworth pia wana 18 MW gas to power plant!
Hapa tunaongea kuhusu matumizi ya umeme wa grid na wewe unakazana kuongea kuhusu matumizi ya umeme wa gesi. Sasa mbona unachanganya mada?
 
Nyinyi hamna covid sasa dawa yenyewe ni ya nini?
 
Nyinyi hamna covid sasa dawa yenyewe ni ya nini?

Habari njema hiyo, majirani mnaosumbuka na gonjwa hili mnakaribishwa kuja kununua dawa hizi salama zilizopitishwa na Mamlaka za Udhibiti wa Ubora, kuwa zinafaa kwa matumizi hivyo usisite mwambie na jirani yako.
 
Yeah elevators na etc zinafuja sana ..hospitals pia (laundry machines,theaters,heaters ..so completion of zonal hospitals ..si ajabu unakuta hosp kma mloganzila inatumia hata 2mw -3mw
Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
 
Habari njema hiyo, majirani mnaosumbuka na gonjwa hili mnakaribishwa kuja kununua dawa hizi salama zilizopitishwa na Mamlaka za Udhibiti wa Ubora, kuwa zinafaa kwa matumizi hivyo usisite mwambie na jirani yako.
Mlijuaje kwamba dawa hiyo inatibu ugonjwa wa covid ikiwa Tanzania haina wagonjwa wa covid?
 
Research ya kijuha sio? Unafikiri heating systems zao ni za kifalafala!
 
Research ya kijuha sio? Unafikiri heating systems zao ni za kifalafala!
Halafu siongei tu kama fala. Hizi heating systems na cooling systems nimeziona kwa macho. Kwa hivyo siongei tu kama mtu mjinga ambaye hajui anachosema. Kama unapinga kauli sema unapinga wapi nikuletee facts hapa. Unanijua mimi siongei kama siwezi back-up nilichosema.
 

Sikujua kama % kubwa ya umeme inaenda uko kwa wazungu..but it makes sense maana hapa nyumbani ukiwasha heater tu bili haieleweki heater unakut ina watts 900 hadi 1200 nyingne ..hio ni point pia ..but tutafika stage hizo hasa kwa huku Dar muhimu kuwa na A/c kipind flan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…