Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwanini tusiuze hii grid inayojengwa ni for what purpose? wacha upuuzi! Ujuaji hausaidii, kuna vitu ni zaidi ya upeo wako hii ni mipango na unavyoongea SADC ina upungufu mkubwa wa umeme all the way mpaka South Africa umeme wa unit cost Tshs 36 hautakuwa na upinzani! Hata majirani hawataweza kushindana nasi!

Facts speak louder than than ur preference! Kama Ethiopia watauza kwann sie tusiuze pia? Sisi tumekosa nn kushiriki kwenye hii biashara? Juzi tumezindua mradi wa nickel kuna miradi wa graphite, gold refineries na Liganga and Mchuchuma iron ore and coal inakuja na ni energy intensive! Unafikiri watatumia umeme upi? wa unit cost Tshs 36 au kujenga power plants zao?





 
kwanini tusiuze hii grid inayojengwa ni for what purpose? wacha upuuzi! Ujuaji hausaidii!

We jamaa sijawai kuona sehemu amabyo uko wrong .. its almost ur right kila kitu ..you cant have same views na watu wote ...
na jua Grid inajengwa na mimi sioni mama kuna shida grid ikijengwa na tukauza umeme nje cause tutapata pesa

Point yangu ni moja kujenga mitambo ijengwe ila sio kwa speed kubwa mpka umeme ukabaki surplus ..nchi gani umeona wanahangaika hawana umeme ukiaachana na SA na labda zimbabwe kidogo na hao SA wanajenga plants zao as we speak

So if JNHPP is u/c itazalisha 2115mw
Kinyerezi 1 ext 185mw 188mil usd

Rusumo 28mw

Afdb wame approve loan ya 50mw
malagarasi fall 120million usd mind you hio ni 250billion Tsh

Why uanze kujenga Ruhidij sijui na nyngne ipi zitazoproduce 560mw cost maybe be around 1bil usd kumbuka ..utauza umeme miaka mingap ugenerate revenue ya 1billion usd

Ushapata picha hio 1 usd B iende kumalizia phase za BrT 3 zilizobaki na kuanza kunenga light rail Dar na Mwanza ..unajua almost watu wote watatumia na hela itarudi chap kuliko kujenga power plants ambao wateja ni almost wakulenga cause nao wanahangaika kujenga plants zao ??
 
Baadaye utakumbuka kauli yangu. Wewe ngoja tu miradi hizi mbili ziishe za 2,000 MW na 580 MW ndio mtajua kwamba kuzalisha ni rahisi lakini kupata demand ya umeme ni ngumu. Umeme utakaa idle. Anyway, time will tell. Baadaye tutajua nani alikuwa correct. Kwa sasa endeleeni kujipiga kifua.
 

nakuuliza unajua gold refinery inahitaji kiasi gani cha umeme? na ni refinery ngapi zinajengwa so far? kama hujui acha ujuaji! mwache JPM afanye mambo yake hakurupuki kwenye hili! Ameona opportunity ya kufanya biashara!
 

Geza tatizo unafikiri am against you while am not ..
Na support Power plants na Grid zijengwe na tuuze umeme sadc

Ila timing ndo what matters while we are selling that surplus JnHPP,and other sources electricty see how it goes and continue ..while kuhangaika selling umeme while ur citizen they dont move hata fast kwenda ma ofisini kwao ...

We should do all things na nakubali..and my main point was to wait for 5 yrs atleast kabla ya ku procure mtu kujenga another 560mw za huko njombe ...cause we will be having 1000mw cheap surplus we can sell anyway
 
Ibaki idle wakati grid ipo inajengwa na at the moment SADC wana power rationing na miradi ya migodi ipo lined up? Mshikaji hii sio field yako! kaa kimya!
 
To many different conflicting info.last year nmesoma guardian ...nkipata ntaweka ." consmuptiom ni 1400mw to 1500mw na pdn 1600mw leaving us with 100-200mw surplus na alisema waziri
Hata mimi nimeshangaa sana. Mimi nilijua consumption ya Tanzania ni between 1,400 MW na 1,500 MW huku production ikiwa 1,600 MW kwa hivyo surplus ni 100 MW. Hii habari ya Tanzania kuconsume 1,100 MW imenishangaza.
Geza Ulole unaweza kutoa ufafanuzi wowote kuhusu hili? Au huyo waziri ndiye amechanganyikiwa?
 
Upo against kwa miradi inayojengwa kukufanya ufanye biashara right away ila kwa short-sightedness yako huoni! Unafikiri hatuna haki ya kuingia kwenye biashara hii lucrative!
 
nakuuliza unajua gold refinery inahitaji kiasi gani cha umeme? na ni refinery ngapi zinajengwa so far? kama hujui acha ujuaji! mwacha JPM afanye mambo yake hakurupuki kwenye hili! Ameona opportunity ya kufanya biashara!

Gold refinery kuna moja imeanza kufanya kazi dodoma ..

Unajua hata transfomers kama wanayojenga dodoma imeongeza 200mw + dodoma bila kujenga power plant yoyote ?

Sijasema tumekurupuka what i said is that when JnHPP and now u/c projects are done Tz shouldnt be in a hurry to produce 500mw another that will cost almost 1bil usd
 
ngoja tuone nani atanunua umeme wenu wa unit cost over Tshs 114! Ethiopia na Tanzania will dominate the regional power business! Rest be assured!


CC: Tz_one
 
na Mwanza, Geita kuna at least 2 zinakamilika mwaka huu! Unajua sipendi watu short sightedness na wanabisha bila kujua the bigger picture!
 
ngoja tuone nani atanunua umeme wenu wa unit cost over Tshs 100
Jibu swali. Consumption yenu haiwezi kuwa ndogo hivyo. Haiwezi kuwa 1,100 MW kwa nchi kubwa kama yenu. Huyo waziri kakurupuka.
Tz_one huyo waziri mbona asivutwe kazi kwa kutoa data mbaya? Yaani sitaki kuamini kabisa kwamba TZ inaconsume 1,100 MW. Hainiingi kichwani.
 
What changed China ni Three Gorge dams...

We are aiming to become a great Industrial Nation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What changed China ni Three Gorge dams...

We are aiming to become a great Industrial Nation

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ngoja watu waendelee kubwabwaja! mtu yeyote anayetaka ku-invest huangalia vitu vitatu-vinne affordable power, good infrastructure, market and political stability! JPM anajaribu kufanya vyote hivi sambamba kuna wajuaji wanakuja na kelele za ati ajenge light train na BRT kwanza as if hajengi au hamna mpango huo in the near future or as if hazitahitaji umeme au gas!
 
I like your reasoning and how you analyse things objectively without bias. You are very intelligent. Analysis yako imetulia kweli.
 
latest report inasema 1565.72 MW na mkataba wa Symbion ulisitishwa sasa kama unaibishia Tanesco wanaosema wanacho-generate wewe ni kiboko! hiyo 1629 MW ni yako wewe!!

Duh! Kwa hivyo ni kweli kwamba Tanzania mnaconsume 1,177 MW? Daadeki. Hii ni kali.
Tz_one unaona sasa nilichomaanisha niliposema kwamba TZ mnaconsume umeme kidogo? Imagine kama ni kweli kwamba mnaconsume 1,177 MW basi Kenya ipo karibu kuwadouble kwenye matumizi ya umeme kwa sababu Kenya inaconsume 1,900 MW sasa hivi na ukumbuke corona imesababisha industries nyingi kufungwa. Mwaka huu Kenya inatinga 2,000 MW kwenye consumption ya umeme
 

Mpango huo upo na najua upo na vinajengwa i just said nguvu iongezeke ili hyo miradi ikamilike (lrt na brts) mapema na sio kuifanya pole pole na hela inaenda kujenga plants

maana project tulizo nazo zitazalisha 2400mw lets say zote zikiwa zimeisaha by 2025 hyo power inaweza kutusukma hata by 5 years na bado tukauza ndo tuanze kujenga hizo 560mw .Geza what will change rapidly over next 5 yrs itachofanya to consume 2400mw zote ? Hapo tutakuwa tuna 4000mw lets say migodi 5 na refinery tano na SGR zitumie 1500mw tutakuwa na surplus ya 1GW
 
Wajuaji kama wewe hawakosekani! JPM has chosen to prioritize projects that will earn the country foreign exchanges right away over projects with returns over a long term prospect!

Personally, i see his smartness on this as energy generation and commercialization is my field n i see them having returns in the immediate future! BTW i see him even overtaking Ethiopia and GERD, their long overdue project!
 

Most of our industries use Gas ..na nying ziko pwani na Dar ..ambapo bomba limepita

Twiga Cement alone inatumia 40mw ya Gas produced

Na bado kuna Dangote nahis around 75mw not sure

Diamond cement iko pwani hizo zote hutumia Gas

So umeme bado mwing hauendi direct viwandani

SO in short kuna umeme wa Tpdc direct viwandani hujawa accounted for

I dont think he is right i read a report saying we are around 1300mw to 1400 nilishatumaga humu ila nikipata ntashare tena
 
Hamna mkopo hapo wa kuumiza kichwa ndio maana hata ndege tumenunua kwa fujo hazidaiwi so no pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…