Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa mkuu yn umeongea kitu konki sn mfano pale Buguruni kwa Bakhressa lile geti pale mbele ya barabara linasabisha mlundikano wa magari pasipo sababu yoyote, wkt wangeweza kuziba pale na kuweka geti nyuma kule, yn ile viaduct pale Buguruni alafu mbele kdg unakutana na mfugale flyover panependeza sn ila lile geti pale walitoe bhn.
 
Wewe ndio wazimu. Mjinga wewe. Wewe huwa hupingi na facts. Unapinga na emotions. Wazimu ni wewe
Hahah acha kuchekesha watu tony 🤣🤣🤣 yani three bearth iwe na capacity ya 14tons hvi wewe unachukulia mambo kirahisi sana,
 
Unaujinga mwingi, Electric SGR mlianza nyie? BRT mlianza nyie? The biggest power plant mlianza nyie? 3 level interchange mlianza nyie?.
Hakuna kitu km electric sgr jomba wala biggest power plant[emoji1787][emoji1787]
Tena nikukumbushe interchanges pia tuliwatangulia, hapo BRT tu ndio mlitutangulia..

Lkn sio mbaya ukianza kuweka majina ya ajabu ajabu katika miradi yenu, ila ukumbuke sisi tuliwatangulia vitu vingi k2 asilimia tisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…