Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu imagine serikali inapeleka mtu Tabora then yeye anatimkia let say Arusha.
Mi naona sio fair, na kwa nini hao private hospitals wasiende chuo cha muhimbili kuchukua wahitimu pale wa nasubiri kulaghai walioajiriwa na serikali.
Kwenye mpira ukisajiliwa na timu moja huwezi ukakimbia tu hovyo kisa kuna timu inakuahidi mshahara mkubwa, ni lazima ustick kwenye contract
 
private wanataka mtu competent mwenye skills za hali ya juu na kuwatengeneza hawataki so wanakupandishia vi laki8 6 hivi then kama hujielewi unajaa
 
Sasa hio link ya uchwara uliyoweka mbona haisemi Lamu port itahandle tonnes ngapi za cargo? Hio link ni useless.
nimekuambia prove me wrong the uncompleted 3 berths at Lamu port will handle above 1 mln tons of cargo!
 
Umeitisha evidence kwamba Lamu port itahandle more than 1 million tonnes. Ndio hii hapa


Chinese-built Lamu port in Kenya is expected to be launched in December and will receive its first ship call from Maersk Line.
Katherine Si | Nov 05, 2019

The port constructed by China Communication Construction Company, will be developed as local cargo transhipment hub.
Construction of the first berth has been completed and remaining two should be completed by the end of 2020. The first three berths of Lamu Port will be able to handle 1.2m teu and will the port is will have the capacity to handle 20m teu when the project fully completed.

Ukitaka kusoma article yote fuata link hapa chini:


1.2 million teu sio sawa na 1.2 million tonnes. Ukitaka kuconvert teu into tonnes ni sharti ufahamu kwamba 1 teu = 12 tonnes.
Kama unavyoona kwenye screenshot yangu, nimehighlight in blue the relevant information



Kwa hivyo, kwa sababu the first three berths zitahandle 1.2 million teus then we can convert those teus into tonnes. The first three berths za Lamu port zitahandle 1.2 million * 12 = 14.4 million tonnes. Lamu port itandle 14 times the weight of cargo that Mtwara port will handle. Lamu port's capacity of 14 million tonnes is less than but close to Dar port's capacity
 
Mwanza-Tabora-Nzega-Singida-Dodoma water project
Nimeangalia video, wanasema mradi utakua na connections zaidi ya million 1.5

Kila mwezi watu hao wakilipa tu kiwango cha chini cha shilling 500 tu, serikali itakusanya million 750 kwa mwezi

UTA
1 500 000 * 500 =
750 000 000
 
aawapi wacha ujinga wa kuokoteza unrealiable links! leta link za KPA!

Mtwara ita-handle nayo 1.5 millions TEUs! Maana hizo ni SI ya cargo at any port, kipimo ni 40 feet container pia!

kwani unaonaje hii size ya beth hii?





Halafu sie feasibility study ya Mtwara port-Mbamba Bay port railway ishakamilika!


Umeona hii pia?
 
aawapi wacha ujinga wa kuokoteza unrealiable links! leta link za KPA!

Mtwara ita-handle nayo 1.5 millions TEUs! Maana hizo ni SI ya cargo at any port, kipimo ni 40 feet container pia!

kwani unaonaje hii size ya beth hii?

Naona umeanza kubadilisha gear angani. Wewe unachanganya sana teus na tonnes. Sasa umeanza tena kusema eti nimeleta unreliable links lakini mwanzoni uliniitisha link yoyote ile, sasa imekuwa kwamba hutakubali link yoyote isipokuwa ya KPA hahaha. Unachekesha sana. Halafu wewe ndio ulisema Mtwara itahandle 1 million tonnes sasa itakuwaje kwamba umebadilisha msimamo tena na kusema kwamba Mtwara itahandle 1.5 million teus? By the way Mombasa port in 2019 ilihandle 1.4 million teus na wao walichukulia kuwa 1 teu = 24 tonnes (40 ft container). Kwa hivyo unataka kutudanganya kwamba haka kaMtwara port kadogo katakuwa na capacity kubwa (1.5 million teus) kushinda Mombasa port (1.4 million teus)? Wewe unajua unachosema kweli?
 
SI unit ya cargo in any port hupimwa kwa TEu za 40 ft container!
 
Ila huyu Rais saa nyingine anakuwa mpumbavu wa mwisho, ina maana hizo hospitali binafsi sio za watanzania au hazitibu watanzania? Huyu vipi?
Huyu ana mentality za kijamaa,kwa uchumi alioukuta kutoka kwa Jk na initiative aliyoifanya angekuwa anaweka uwiano Kati ya private sector na public sector nadhani angeweza kukuza uchumi Sana via private sector na kuboresha maisha ya watu

Sasa private sector ina struggle na kujikongoja huku sekta ya umma ikinufaika hasa kwa kutegemea pesa ya madini,utalii,mikopo na kodi umiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…