Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't go there because
Kenyan Bank's Presence in Tanzania is OVERWHELMING.
Here's a list. Kenyans mtanisaidia hapa zile nimesahau.

The BANK and No. of Branches they have in tanzania

1)EQUITY BANK- 15 branches
2) KCB BANK - 12 branches
3) I&M BANK- 8 branches
4)CBA BANK 11 branches
5) NIC BANK - 5 branches
6)DTB BANK- 27 branches

And nearly 90% banks in tanzania are foreign.

I don't think there is any Tanzanian bank in kenya.
 

Are u sure that 90% of banks in tanzania are foreign???[emoji848][emoji38][emoji38]
 

Sasa ndugu yangu Uhuru na Umoja
The issue hapa inayoongelewa ni how Dar city iko unplanned and someone quoted kwamba socialism imechangia kwa kiasi kikubwa, hizo points unazozizungumzia ni how TZ'economy got ugly??
We don't talk about economy anymore hapa but hilo swala lilijitokeza tuu for some replays katika kushindanisha zaidi TZ vs KE, hakuna asiye jua factors for TZ to have poor economy and all what you mentioned vina_exist
kitu nlichojaribu kuzungumzia hapa ni ujamaa ulisababisha vipi Dar kua unplanned nahis sijaeleza kwa upana unaostahili ndo maana braza ukaniletea sababu za TZ kua maskini, baada ya ujamaa ku_fail vitu vilienda shaghalabaghala na hapo sasa ndo ikawa source ya jiji kutopangwa vzr...
Hao akina Russia na Uchina walimkalia kooni kiaje, kwamba Mwalimu aliiga from influence za kwao
So bro try to stream some replays back ujue basi hata source,, sawaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…