Mlifanyaje mkaiteka market ya Russia na Ukraine? Ni marketing tu au kuna la jambo lingine?
Tulimtumia Naomi Campbell! Kumbuka Russia na Ukraine hawana kasumba za Kimagharibi wamekubali kuishi na corona kama siye! nyie ngojeni the West wafungulie watalii wao ambapo na sisi tutafaidika pia!
Opportunity cost ya kununua ndege cash for a poor country ni kubwa sana. Namaanisha kwamba hio pesa kama ingetumika kufanyia miradi mingine basi ingeleta faida kubwa zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Especially considering kwamba neighbours wenu wengi tayari wana airline ikiwemo Kenya na Ethiopia. Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia almost $1 billion kununua ndege hizo 11 in cash wakati bado hamjajenga miundo mbinu yenu vizuri? Starting a new airline from scratch is an expensive affair and it is even more expensive to buy aeroplanes instead of leasing them and especially if you are buying upfront without a grace period. The multiplier effect of these purchases will be small. There are no forward or backward linkage industries associated with the purchase. Hakuna industry ambayo itapop up kwa sababu mumenunua ndege 11. Lakini kama mngejenga lami mahali ambapo hakukuwa na lami basi hio itakuwa na impact kubwa zaidi maana itawezesha wakulima kusafirisha mizigo yao to the market. Tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka kukimbizana na Kenya kwenye kila sector. Hii ya kununua ndege 11 in cash mlikurupukaIt is costly lakini ..but its a good investment ..haileti revenue kibwa direct kwa Gov ila mutipler effect yake kwenye ..Tourism,Food industry (supply) , kuuza products kwenye ndege,Maduka ya Airport , employment ni kubwa
Kenya watu na wahindi awajichanganyi kama ilivyoa TanzaniaSs mtu utakuta anamuona ichoboy anasema eti ni muarabu kisa ngozi wkt ichoboy ni mswahili pure kuliko hata yeye na weusi wake huo, ichoboy mtoto wa ilala wapo wengi pale Wakenya msiogope sisi ndo Watz, wote sisi ni watoto wa Nyerere[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona mtatupiga vibaya kwenye number of tourists this year. Tayari mnapokea revenue nyingi kutushinda ila sisi tulikuwa tunapokea tourists wengi kuwashinda. Sasa itakuwa kwamba mtapokea idadi kubwa ya tourists na revenue nyingi pia. Hongera. Hio policy ya Magufuli ya kudanganya watu kwamba hakuna corona Tanzania naona imezaa matunda mazuri kwa uchumi wa Tanzania.Ni Marketing na pia kuna company za urusi zi ime invest zanzibar tourism ili kuvutia warusi wenzao waje .marketing imefanyika sana miaka iliyopita miwili mitatu ..haya ni matunda sasa ..wazungu (wa marekani na ulaya)wanaogopa covid sana ila warusi wanakuja tu wana fill the gap na kuongezea zaidi..
Dar has also been getting a share some planes pass via Dar on way to Zanzibar kwa wale wanaovisit Kilimanjaro,Serengeti ,Ruaha
Opportunity cost ya kununua ndege cash for a poor country ni kubwa sana. Namaanisha kwamba hio pesa kama ingetumika kufanyia miradi mingine basi ingeleta faida kubwa zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Especially considering kwamba neighbours wenu wengi tayari wana airline ikiwemo Kenya na Ethiopia. Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia almost $1 billion kununua ndege hizo 11 in cash wakati bado hamjajenga miundo mbinu yenu vizuri? Starting a new airline from scratch is an expensive affair and it is even more expensive to buy aeroplanes instead of leasing them and especially if you are buying upfront without a grace period. The multiplier effect of these purchases will be small. There are no forward or backward linkage industries associated with the purchase. Hakuna industry ambayo itapop up kwa sababu mumenunua ndege 11. Lakini kama mngejenga lami mahali ambapo hakukuwa na lami basi hio itakuwa na impact kubwa zaidi maana itawezesha wakulima kusafirisha mizigo yao to the market. Tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka kukimbizana na Kenya kwenye kila sector. Hii ya kununua ndege 11 in cash mlikurupuka
Unamaanisha kwamba mtu mweusi anaweza kumuoa muhindi huko Tanzania?Kenya watu na wahindi awajichanganyi kama ilivyoa Tanzania
Haina hata shida,mimi mwenyewe na cousin wangu mama yake ni mhindi pure mtafute youtube ni mwanamuziki wa hip hop kitambo tu anaitwa rado,mfano mfuatilie mdosi maarufu huko instagram anaitwa shyrose bhanji,watoto wadogo tu wanamdandiaUnamaanisha kwamba mtu mweusi anaweza kumuoa muhindi huko Tanzania?
mbona ni kama miradi yote mikubwa anzia, bandari sgr umeme barabara n kama inaendelea kutekelezwa pasipo shida yoyote?Kweli una point muhimu ...pia kujenga lami ya $1billion kwa watu wavivu ni hasara.by anyways .its not like sector nyngne zimeachwa ..almost sector zote zimepewa hela roads,hospitals,rails,ports ,airports ,water ..labda ungeniambia if $1billion ingemalizia reli chap au ingemaliza JNHPP chap..ila bado tungeendelea kuwa na msemo wa hatuna shirika la ndege ..mimi naona angenunua ndege pole pole kama dreamliner mbili kwa wakati mmoja was a very fast move ..hyo $285mil ingepelekwa kwenye reli or jnhpp ku boost ..lakin ndo hvyo no one is perfect
Mbona wengi wahindi wameolewa wengine majirani zangu🙂Unamaanisha kwamba mtu mweusi anaweza kumuoa muhindi huko Tanzania?
Je wajua kuwa Air Tanzania ndo shirika la ndege linaoloongoza kwa followers wengi Africa nzima??
View attachment 1686363
peleka upumbavu, and what is the opportunity cost for a country like Kenya that has failed to honor the debt it took from Afrieximbank? nashindwa kukuelewa wewe ni economist wa wapi? 👇Opportunity cost ya kununua ndege cash for a poor country ni kubwa sana. Namaanisha kwamba hio pesa kama ingetumika kufanyia miradi mingine basi ingeleta faida kubwa zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Especially considering kwamba neighbours wenu wengi tayari wana airline ikiwemo Kenya na Ethiopia. Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia almost $1 billion kununua ndege hizo 11 in cash wakati bado hamjajenga miundo mbinu yenu vizuri? Starting a new airline from scratch is an expensive affair and it is even more expensive to buy aeroplanes instead of leasing them and especially if you are buying upfront without a grace period. The multiplier effect of these purchases will be small. There are no forward or backward linkage industries associated with the purchase. Hakuna industry ambayo itapop up kwa sababu mumenunua ndege 11. Lakini kama mngejenga lami mahali ambapo hakukuwa na lami basi hio itakuwa na impact kubwa zaidi maana itawezesha wakulima kusafirisha mizigo yao to the market. Tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka kukimbizana na Kenya kwenye kila sector. Hii ya kununua ndege 11 in cash mlikurupuka
kizuri kinajiuza chenyewe mkuu, kama utakuwa unafuatilia now kumekuwa na a large group of African Americans wana repatriate huku tanzania sio watalii tu, na wenyewe wanakwambia wakitouch down kwenye aiport tu ya tanzania tayari wanafeel at home from the warm welcome wanayoipata na wameshacompare other places like ghana, rwanda na kenya amabazo zinajitangaza sana kuwavutia but only tanzania feels like home.Mlifanyaje mkaiteka market ya Russia na Ukraine? Ni marketing tu au kuna la jambo lingine?
Anyway zimeshanunuliwa haziwezi kurudishwa. Sasa mnastahili kuzitumia vizuri ili ziwaletee faida kubwa, sio kwamba zilale tu kwenye hangars zikipata kutu. Kwa opinion yangu, hio mambo ya kuzipigisha dreamliner routes za domestic ni makosa makubwa. Watanzania hawana purchasing power kubwa ya kujaza dreamliner kila trip. Kumbuka Dreamliner 787 is one of the biggest aeroplanes in the world. Domestic ingekuwa mnatumia ndege ndogo ndogo kama bombardier ambazo tayari mnazo kadhaa. Hata embraer ingewafaa zaidi katika market yenu ya domestic maana inabeba watu kati ya 80 hadi 120. Halafu ndege kubwa mngezipigisha routes za nje ya nchi. Running an airline is the most difficult business in the world. KQ is doing badly because of mismanagement. SAA is doing badly because of mismanagement. Nigerian airline died because of mismanagement. As a young airline you should learn from the mistakes of KQ, SAA and other African airlines. Ni kazi ngumu sana kurun airlines successfully anywhere in the world except in Europe and America because people in those countries have a high purchasing power. Ethiopian airlines is the only African airline that seems to be run professionally in Africa. There is little government interference and they employ proffesionals from pilots to management. KQ is a good airline that has been run badly by incompetent management.Kweli una point muhimu ...pia kujenga lami ya $1billion kwa watu wavivu ni hasara.by anyways .its not like sector nyngne zimeachwa ..almost sector zote zimepewa hela roads,hospitals,rails,ports ,airports ,water ..labda ungeniambia if $1billion ingemalizia reli chap au ingemaliza JNHPP chap..ila bado tungeendelea kuwa na msemo wa hatuna shirika la ndege ..mimi naona angenunua ndege pole pole kama dreamliner mbili kwa wakati mmoja was a very fast move ..hyo $285mil ingepelekwa kwenye reli or jnhpp ku boost ..lakin ndo hvyo no one is perfect
Let say idea yako ya kununua vitu pole pole ni sawa.Opportunity cost ya kununua ndege cash for a poor country ni kubwa sana. Namaanisha kwamba hio pesa kama ingetumika kufanyia miradi mingine basi ingeleta faida kubwa zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Especially considering kwamba neighbours wenu wengi tayari wana airline ikiwemo Kenya na Ethiopia. Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia almost $1 billion kununua ndege hizo 11 in cash wakati bado hamjajenga miundo mbinu yenu vizuri? Starting a new airline from scratch is an expensive affair and it is even more expensive to buy aeroplanes instead of leasing them and especially if you are buying upfront without a grace period. The multiplier effect of these purchases will be small. There are no forward or backward linkage industries associated with the purchase. Hakuna industry ambayo itapop up kwa sababu mumenunua ndege 11. Lakini kama mngejenga lami mahali ambapo hakukuwa na lami basi hio itakuwa na impact kubwa zaidi maana itawezesha wakulima kusafirisha mizigo yao to the market. Tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka kukimbizana na Kenya kwenye kila sector. Hii ya kununua ndege 11 in cash mlikurupuka
Anyway zimeshanunuliwa haziwezi kurudishwa. Sasa mnastahili kuzitumia vizuri ili ziwaletee faida kubwa, sio kwamba zilale tu kwenye hangars zikipata kutu. Kwa opinion yangu, hio mambo ya kuzipigisha dreamliner routes za domestic ni makosa makubwa. Watanzania hawana purchasing power kubwa ya kujaza dreamliner kila trip. Kumbuka Dreamliner 787 is one of the biggest aeroplanes in the world. Domestic ingekuwa mnatumia ndege ndogo ndogo kama bombardier ambazo tayari mnazo kadhaa. Hata embraer ingewafaa zaidi katika market yenu ya domestic maana inabeba watu kati ya 80 hadi 120. Halafu ndege kubwa mngezipigisha routes za nje ya nchi. Running an airline is the most difficult business in the world. KQ is doing badly because of mismanagement. SAA is doing badly because of mismanagement. Nigerian airline died because of mismanagement. As a young airline you should learn from the mistakes of KQ, SAA and other African airlines. Ni kazi ngumu sana kurun airlines successfully anywhere in the world except in Europe and America because people in those countries have a high purchasing power. Ethiopian airlines is the only African airline that seems to be run professionally in Africa. There is little government interference and they employ proffesionals from pilots to management. KQ is a good airline that has been run badly by incompetent management.
Ushauri wako Ni poa sana,Izo dreamliner inaenda Mumbai bro...Target ni masafa marefu....Ukiona imetoka dar kwenda Mwanza basi ujue abiria wako wakutosha haiwezi kupack tu....Anyway zimeshanunuliwa haziwezi kurudishwa. Sasa mnastahili kuzitumia vizuri ili ziwaletee faida kubwa, sio kwamba zilale tu kwenye hangars zikipata kutu. Kwa opinion yangu, hio mambo ya kuzipigisha dreamliner routes za domestic ni makosa makubwa. Watanzania hawana purchasing power kubwa ya kujaza dreamliner kila trip. Kumbuka Dreamliner 787 is one of the biggest aeroplanes in the world. Domestic ingekuwa mnatumia ndege ndogo ndogo kama bombardier ambazo tayari mnazo kadhaa. Hata embraer ingewafaa zaidi katika market yenu ya domestic maana inabeba watu kati ya 80 hadi 120. Halafu ndege kubwa mngezipigisha routes za nje ya nchi. Running an airline is the most difficult business in the world. KQ is doing badly because of mismanagement. SAA is doing badly because of mismanagement. Nigerian airline died because of mismanagement. As a young airline you should learn from the mistakes of KQ, SAA and other African airlines. Ni kazi ngumu sana kurun airlines successfully anywhere in the world except in Europe and America because people in those countries have a high purchasing power. Ethiopian airlines is the only African airline that seems to be run professionally in Africa. There is little government interference and they employ proffesionals from pilots to management. KQ is a good airline that has been run badly by incompetent management.
African america wanaorepatriate Tanzania kama serikali itataka kuwatumia kuna kitu kikubwa tutapata kutoka kwao,jamaa wametokea kuikubali sana nchi yetu kwa jinsi sisi wenyewe tunavyoishikizuri kinajiuza chenyewe mkuu, kama utakuwa unafuatilia now kumekuwa na a large group of African Americans wana repatriate huku tanzania sio watalii tu, na wenyewe wanakwambia wakitouch down kwenye aiport tu ya tanzania tayari wanafeel at home from the warm welcome wanayoipata na wameshacompare other places like ghana, rwanda na kenya amabazo zinajitangaza sana kuwavutia but only tanzania feels like home.
Tatizo lako wewe unaongea mambo tu without research.Anyway zimeshanunuliwa haziwezi kurudishwa. Sasa mnastahili kuzitumia vizuri ili ziwaletee faida kubwa, sio kwamba zilale tu kwenye hangars zikipata kutu. Kwa opinion yangu, hio mambo ya kuzipigisha dreamliner routes za domestic ni makosa makubwa. Watanzania hawana purchasing power kubwa ya kujaza dreamliner kila trip. Kumbuka Dreamliner 787 is one of the biggest aeroplanes in the world. Domestic ingekuwa mnatumia ndege ndogo ndogo kama bombardier ambazo tayari mnazo kadhaa. Hata embraer ingewafaa zaidi katika market yenu ya domestic maana inabeba watu kati ya 80 hadi 120. Halafu ndege kubwa mngezipigisha routes za nje ya nchi. Running an airline is the most difficult business in the world. KQ is doing badly because of mismanagement. SAA is doing badly because of mismanagement. Nigerian airline died because of mismanagement. As a young airline you should learn from the mistakes of KQ, SAA and other African airlines. Ni kazi ngumu sana kurun airlines successfully anywhere in the world except in Europe and America because people in those countries have a high purchasing power. Ethiopian airlines is the only African airline that seems to be run professionally in Africa. There is little government interference and they employ proffesionals from pilots to management. KQ is a good airline that has been run badly by incompetent management.
Wahindi wa huku Kenya wana maringo na madharau sana. Wanawachukia waafrika sana. Hata wanapenda kuishi kivyao na wala hawajichanganyi na waafrika. Wanaona waafrika kama ni mavi ya sokwe.Haina hata shida,mimi mwenyewe na cousin wangu mama yake ni mhindi pure mtafute youtube ni mwanamuziki wa hip hop kitambo tu anaitwa rado,mfano mfuatilie mdosi maarufu huko instagram anaitwa shyrose bhanji,watoto wadogo tu wanamdandia