Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ukabila kwa unaleta matabaka never proud of thatHapa umekurupuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi tena shule, tayari umeshaambiwa muacha mila ni mtumwa na nyie mkutupa mila zenu kusingizia umoja..
Kiswahili hakijakwambia utupe mila, eti mtu akiongea kikabila dar mnamuona mshamba..
Wapuuzi sana nyie...
Wanafiki km nyie duniani hakuna
Pia Zaire!Tafadhali usiingilie topic isiyokuhusu. Tatizo sio nani mwenye jina la “Kenya” Bali issue ni kudharau jina la nchi bila kujua Maana yake. But since you’ve brought it up, parents aren’t naming their children “Kenya” strictly because it’s the name of a country. The word Kenya also has roots in Hebrew and Japanese. So, do not feel so special because guess what? You aren’t!
View attachment 1685923
Ulikuwepo kwenye mkutano wao??😁😁 au wivu unakusumbuaSo ata hakuna cha maana ulicho leta 😂😂😂😂
Japo waliwapa watoto wao hayo majina kutoka kwa Hebrew meaning sio sababu kulikua na nchi inaitwa Kenya na ndio maana hao wote walipewa hayo majina miaka ya nyuma kipindi hata Kenya haijulikani ulimwenguniMy friend weka matusi kando twende na facts. Watu wengi sana wameita watoto wao jina "Kenya". Kwanza black Americans wanapenda hilo jina sana. Jina Tanzania ni jina mbaya sana hakuna mtu anataka kuita mtoto wake hilo Jina.
Kenya Moore (Actress, TV personality)
View attachment 1685917
Kenyan Drake (American football star)
View attachment 1685918
Na kama bado unaleta ubishi tazama hii list
View attachment 1685920
Najua hamna comeback kwa hili. Hii itabidi mumenyamaza tu maana hakuna mtu yeyote mashuhuri anayeitwa "Tanzania".
Cc Naton Jr Geza Ulole The best 007 Venus Star kikihboy Coco Master komora096
🤣🤣🤣🤣 na hutapata majibuGood question but I don't have answers for you.
Oya punguzeni watakimbia wote sasa 😅😅Japo waliwapa watoto wao hayo majina kutoka kwa Hebrew meaning sio sababu kulikua na nchi inaitwa Kenya na ndio maana hao wote walipewa hayo majina miaka ya nyuma kipindi hata Kenya haijulikani ulimwenguni
Baada ya globalization people ceased to use it japo pamoja na hivyo jina Kenya ni mali ya mzungu pia
Umepata vitasa kuanzia kwenye pilots mpaka kwenye name Kenya saivi umeamua kuwa a mere forum elder, spewing hot air wisdom to none 🙄Walker255 Coco Master Guyz stop the insults. It's not funny. Let us have a civil discussion.
Hahahaha wameyataka wenyeweOya punguzeni watakimbia wote sasa 😅😅
Can someone tell JPM to stop cutting down trees in the name of offering blackwood carving?
But unajua hiyo ndio legacy yetu kuu, yaani dunia nzima hutopata kitu kama hicho, aisee kuna siku nilikua naangalia CNN kipindi cha Obama nikaona wamedispay carving ya ujamaa oval office yaani kilikua kwenye background kama sanamu ya Abraham Lincoln na Luther King,Can someone tell JPM to stop cutting down trees in the name of offering blackwood carving?
Wewe Geza chunga usipotee. Unaweza kupotezwa na wasiojulikana kwa kumcriticize Mungu- mtu. Wenyewe wanapitia nyuzi hizi kila siku.Can someone tell JPM to stop cutting down trees in the name of offering blackwood carving?
Kwenye suala la mazingira JPM yupo vizuri, kaanzisha mashamba mengi sana ya miti awamu yakeWewe Geza chunga usipotee. Unaweza kupotezwa na wasiojulikana kwa kumcriticize Mungu- mtu. Wenyewe wanapitia nyuzi hizi kila siku.
pointless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]My friend weka matusi kando twende na facts. Watu wengi sana wameita watoto wao jina "Kenya". Kwanza black Americans wanapenda hilo jina sana. Jina Tanzania ni jina mbaya sana hakuna mtu anataka kuita mtoto wake hilo Jina.
Kenya Moore (Actress, TV personality)
View attachment 1685917
Kenyan Drake (American football star)
View attachment 1685918
Na kama bado unaleta ubishi tazama hii list
View attachment 1685920
Najua hamna comeback kwa hili. Hii itabidi mumenyamaza tu maana hakuna mtu yeyote mashuhuri anayeitwa "Tanzania".
Cc Naton Jr Geza Ulole The best 007 Venus Star kikihboy Coco Master komora096
umemaliza mkuu,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena hata usingemwambia ,,,,huyo jamaa anautoto uliombatana na uchokoraa wa mtaani....Tafadhali usiingilie topic isiyokuhusu. Tatizo sio nani mwenye jina la “Kenya” Bali issue ni kudharau jina la nchi bila kujua Maana yake. But since you’ve brought it up, parents aren’t naming their children “Kenya” strictly because it’s the name of a country. The word Kenya also has roots in Hebrew and Japanese. So, do not feel so special because guess what? You aren’t!
View attachment 1685923
kuanzia leo nitakuwa nawaita wakenya kirinyaga[emoji1787][emoji1787]Japo waliwapa watoto wao hayo majina kutoka kwa Hebrew meaning sio sababu kulikua na nchi inaitwa Kenya na ndio maana hao wote walipewa hayo majina miaka ya nyuma kipindi hata Kenya haijulikani ulimwenguni
Baada ya globalization people ceased to use it japo pamoja na hivyo jina Kenya ni mali ya mzungu pia
hebu tulia wewe kirinyaga[emoji1787][emoji1787]Wewe Geza chunga usipotee. Unaweza kupotezwa na wasiojulikana kwa kumcriticize Mungu- mtu. Wenyewe wanapitia nyuzi hizi kila siku.
Unajua ni miaka mingapi mtu wa Blackwood huchukua kuota na kuwa mrefu namna hiyo? Aaache hii maneno zawadi aanaweza kutoa picha ya mlima Kilimanjaro! Inatosha! Huu mti ulikuwa ushawekwa underprotection ila jamaa kuingia madarakani kapuuzia hiyo status ndo maana katiba inabidi ibadilike na sio tunakuwa na Rais anajiamulia chochote atakacho!But unajua hiyo ndio legacy yetu kuu, yaani dunia nzima hutopata kitu kama hicho, aisee kuna siku nilikua naangalia CNN kipindi cha Obama nikaona wamedispay carving ya ujamaa oval office yaani kilikua kwenye background kama sanamu ya Abraham Lincoln na Luther King,
Nimejaribu ku Google sana sikuona tena hiyo picture,
haiwezi kupotea sababu Tanzania forest service agency wanaipanda sana na kuna dedicated forests kwa ajili ya miti ya asili kama mpingoUnajua ni miaka mingapi mtu wa Blackwood huchukua kuota na kuwa mrefu namna hiyo? Aaache hii maneno zawadi aanaweza kutoa picha ya mlima Kilimanjaro! Inatosha! Huu mti ulikuwa ushawekwa underprotection ila jamaa kuingia madarakani kapuuzia hiyo status ndo maana katiba inabidi ibadilike na sio tunakuwa na Rais anajiamulia chochote atakacho!