Barriers zitawekwa. Hio ni part of the project.Ni Bora waweke barier lasivyo ntakua mmefanya zero work uendeshaji wa Kenya lazima utumie kifua,hakuna utaratibu, wa kufata traffic lights mwisho wa siku mabasi ya githurai na Zimmerman yanaingia kwenye huo mchoro🙂
Unaona tusivyo na roho mbaya, pamoja na figisu zenu lakini bado tunawapa dili la pesa.Vyuma vimetoka Kenya
Nionyeshe wapi nimefananisha japan na kenya..So leo unafananisha japan na kenya au usa na kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
leo developed country au 1st world countries inafananishwa na 3rd world country [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu atupe subira [emoji3][emoji3][emoji3]
Kenya haikwepekiVyuma vimetoka Kenya
Watz kuna sehemu wakitaka kusafiri lazima wakatize ba kenya usione zile mbwe mbwe zote
Ni bidhaa ngapi mnanunua kwetu.? Ikiwa chakula tu hamuwezi kuzalisha.? Duh Kenyans ni mtihani kwelikweli yaaRabbiKenya haikwepeki
You sell us raw products, we sell you manufactured goods which are higher uo on the value addition chain........who do you think is benefiting more?Ni bidhaa ngapi mnanunua kwetu.? Ikiwa chakula tu hamuwezi kuzalisha.? Duh Kenyans ni mtihani kwelikweli yaaRabbi
Mfano tukitaka kwenda wapi lazima tuje Kenya?Watz kuna sehemu wakitaka kusafiri lazima wakatize ba kenya usione zile mbwe mbwe zote
Angalia kazi za vijana wetu makini...
Unaona tusivyo na roho mbaya, pamoja na figisu zenu lakini bado tunawapa dili la pesa.
Roho mnayo mbaya. Bado mnatuchukia. Sema tu hamkuwa na mashine ya kufabricate hivyo vyuma. Ikabidi mje Kenya shingo upande.Unaona tusivyo na roho mbaya, pamoja na figisu zenu lakini bado tunawapa dili la pesa.
Kuagiza still Kenya Ni swala la mda tu jirani 🙂 don't be too excited tumeona ni Bora tuwachangie sahivi hela kidogo ili muongezee kwa BBI🙂Kenya haikwepeki
Ama kweli msela wangu ni mtihani cha ajabu eti Egypt wana uwezo wa kuwauzia wenzetu mahindi sukari na matunda 🙂wakati ni jangua on the other hand majirani wako na ardhi ya kilimo 🙂Ni bidhaa ngapi mnanunua kwetu.? Ikiwa chakula tu hamuwezi kuzalisha.? Duh Kenyans ni mtihani kwelikweli yaaRabbi
Hamuwezi tomboa kwa hii group,wait and see soon ntakuwa out😂😂😂😂😩tunazidi kuwaonyesha uhalisia halis wa Tanzania kila sector na bado tunahakikisha kila sector tunakaa juu no.1 tunapostahili in EAC
wenyetu hawapo kbsa kumbe
View attachment 1684516
Tabora ni mji ambao unaichapa Kisumu vizuri sana
Kuna mmarekani kwenye comment kasema Tabora ni kama Washington DC
Hapana, mkuu wa mkoa wa Mwanza alisema, kulikuwa na kampuni nyingi zilizoomba zabuni ila hiyo ya kenya ndiyo ilishinda.Roho mnayo mbaya. Bado mnatuchukia. Sema tu hamkuwa na mashine ya kufabricate hivyo vyuma. Ikabidi mje Kenya shingo upande.
What about Kibera and Mathare!?Soon slums in Nairobi will be history,,kazi imeanza ya kuzimaliza👏👏😍
https://www.facebook.com/