Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Duh, Leo Umekuwa mpole, siamini kama ni wewe.Mi sio programmer najua basic hapa na pale tu kw ujanja ujanja wangu, nlikua nataka kuandika 0-99 ila hyo ni typo error..
Lkn tatizo nimeona haina haja nikurupuke na sector ambayo inawenyewe
Sawa pole kama sijakufwata kwa adabu lakini ninacho omba tu ni vile mimi nilifanya ulicho jiulize nifanye hadi nikatuma video tafadhali hata wewe kuteneza tu functional buttons za kuset the correct time to the watch that was made earlier na utume a small video ikifanya you set the time kama ni to saa moja na dakika ishirini inafanya hivo tu sitaki lingine... na vile nilipost code pia wewe you post your code tuone kama kweli ni ile code yako tu umetumia simple.Issue zako ni za kitoto sana. Unadhani issue ya kuiba online ni kuimba kama kuchukua chang'aa. Ingekuwa simple hivyo everyone angekuwa ni software developer.
Halafu usitegemee nitakuonesha chochote mpaka unitafute kwa adabu.
Sijui huyo jamaa anajaribu kusema nini. Pengine anajaribu kusema kuwa Bond sio debt. Lakini sijamuelewa vizuri.Japan external debt only is a 82% internal hata usiulize
Hahaha. Umekamata mwizi.🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuambia hata kudanganya hujui sunset aje? How does it add or subtract the hours??? Where is the code linking the image you sent to the time code itself??? So you thought if you send a code for making a non functional image we will applaud and move one
Kwani hukuona video yenye Simba alipost?Video iko wapi?
JKIA milango ni ileile ya enzi za mitume kama mgunduzi wa kwanza duniani alivyogundua mlango yaani unasukuma kufungua na kufunga! alikuwa anadai hana uhakika nimemuwekea evidence kageuza story, IRMAO...!hapo maana yake kakubali kuwa hakuna automatic doors at JKIA! case closed!
Unadhani huyo mtu ni a serious programmer? Anaweza kuwa anaelewa basics tu za programming but mambo ya kuunda saa ambayo ina buttons na unaweza finya button kuset saa imemshinda. Wachana na yeye.Sawa pole kama sijakufwata kwa adabu lakini ninacho omba tu ni vile mimi nilifanya ulicho jiulize nifanye hadi nikatuma video tafadhali hata wewe kuteneza tu functional buttons za kuset the correct time to the watch that was made earlier na utume a small video ikifanya you set the time kama ni to saa moja na dakika ishirini inafanya hivo tu sitaki lingine... na vile nilipost code pia wewe you post your code tuone kama kweli ni ile code yako tu umetumia simple.
Afadhali tuwe na airport nzee inayohandle more passengers, flights and cargo kushinda airport yenu mpya ambayo inahandle less than half ya passengers wanaopitia JKIA. Mna safari ndefu kufikia numbers za JKIA. Kama vile tu mna safari ndefu kufikia numbers za Mombasa port. Having new shiny objects means nothing if you can't translate it into high number of passengers and cargo.JKIA milango kama mgunduzi wa kwanza duniani alivyogundua mlango yaani unasukuma kufungua na kufunga! IRMAO...!
Tony254 ni aibu aisee!
Jamaa ni scammer eti yeye mpka atafytwe kw adabu alipwe[emoji23][emoji23]Unadhani huyo mtu ni a serious programmer? Anaweza kuwa anaelewa basics tu za programming but mambo ya kuunda saa ambayo ina buttons na unaweza finya button kuset saa imemshinda. Wachana na yeye.
US haijawahi kuchukua loan kama mnavyochukua nyie China imenunua US bonds under the US terms!Geza Ulole naona uliitisha evidence nikasahau kuweka. Ndio hii hapa ya China pekee. Ya Saudi Arabia pia ni kubwa
How much US debt does China own and why is it important?
As of the end of November, China owned US$1.063 trillion of the total outstanding US government debt issued by the US Department of the Treasury.amp.scmp.com
Mi niliyekuja sai tu nimeionaKwani hukuona video yenye Simba alipost?
Kwn unawaonaje hao majamaa, hata wao pia ni nchi km nci zngine tuUS haijawahi kuchukua loan kama mnavyochukua nyie China imenunua US bonds under the US terms!
Deni ni deni iwe ni loan au bond. Na deni lazima ilipwe. Ni kweli bond ina better terms kushinda loan lakini bond bado ni deni na lazima ilipwe. Kwanza corona imefanya US waanze kugawia raia wake pesa na hio imeongeza debt to Gdp ratio ya US. Anyway nakubali kwamba Kenya lazima ipunguze debt level yake.US haijawahi kuchukua loan kama mnavyochukua nyie China imenunua US bonds under the US terms!
deni la kutoka own instutions ama in the form of bonds si sawa na la SGR Kenya toka kwa Mchina!Deni ni deni iwe ni loan au bond. Na deni lazima ilipwe. Ni kweli bond ina better terms kushinda loan lakini bond bado ni deni na lazima ilipwe. Kwanza corona imefanya US waanze kugawia raia wake pesa na hio imeongeza debt to Gdp ratio ya US. Anyway nakubali kwamba Kenya lazima ipunguze debt level yake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wacha kuniita majina zangu zote. Unless unataka tukosane. Usirudie ulichofanya.