Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,174
- 107,750
“China has assisted us in many projects including the Chalinze Water Project, the National Stadium, Morogoro Agricultural Centre, the Centre for Training and Cardiac Surgery, Mwalimu Nyerere International Conference Centre, drug aids and medical equipment,” said Dotto.
Kwanza tujuze cosmology ni somo la nini. Nimekupa dakika mbili unijibu. Sitaki uende kugugo. NinahesabuLeo umekuwa mshauri wangu siyo. Nimekwambia degree yangu ya kwanza ni religious studies. Leta maswali kuhusu jambo hilo unione. Leta maswali kuhusu cosmology unione. Leta maswali ya mathematics unione. Ni kitu simple sana.
Kwenye IT umenyosha mikono.
wacha wivu wewe! Mtu anaweza akawa na profession zaidi ya moja kama mie ambaye programming najifunzia ukubwani!Ni sawa. Jikite kwenye profession yako na utatufunza mengi. Sio kurukaruka kwamba uko kila mahali.
Najua lazima utaumia na kupost picha za floods 🤣🤣🤣👇👇👇👇Yeah quite something and taking shape,can’t wait to see it come to fruition.Unlike you’re rudimentary brt design this one is well thought out.View attachment 1683807View attachment 1683808View attachment 1683809
Nina mashaka sana na elimu yenu ambayo huwa mnajisifia nayo.Ni sawa. Jikite kwenye profession yako na utatufunza mengi. Sio kurukaruka kwamba uko kila mahali.
Sasa unadhani kila muda nipo online!?Kwanza tujuze cosmology ni somo la nini. Nimekupa dakika mbili unijibu. Sitaki uende kugugo. Ninahesabu
Kwanza kabisa.Kwanza tujuze cosmology ni somo la nini. Nimekupa dakika mbili unijibu. Sitaki uende kugugo. Ninahesabu
Unatakiwa uenze kujifunza big bang theory.Cosmology is a branch of astronomy that involves the origin and evolution of the universe
Hakuna BRT hapo mm nakwambia tatizo kubwa kwenu ni kutokubali kua BRT is a system kwan huu upuuzi mumesahau miaka mitatu iliopita mukapoteza pesa za tax payers kwa kuchora ovyo ovyo mukajua BRT ni sawa na kula githeriSaa zingine kama hujui kitu funga mdomo
View attachment 1683936
View attachment 1683937View attachment 1683938
Nilete mdomo na project ilianza 2016 leo munatuonesha nn hapo??? Tatizo tony munajisahau sanaichoboy01 leta mdomo wako kubwa hapa. Eti ulikuwa unasema jengo gani halijengwi?
88 Nairobi (44 floors residential apartments).
View attachment 1683941
Physics inaongelea energy ambayo inaishia kwa Einstein. Kama wewe ni mtaalamu wa physics jamaa huyu utamwelewa.Kwanza tujuze cosmology ni somo la nini. Nimekupa dakika mbili unijibu. Sitaki uende kugugo. Ninahesabu
mention airport moja usitaje ya Czech maana Czech ni some other European country!Kuna airports za ulaya ambazo hazina. So what is your point? Automatic door is not the issue. The issue is how many passengers does your airport handle? How many flights per day (take-offs and landings). Hayo mengine ya modernity ni irrelevant.
hako kauchochoro hakawezi ku-host two lines plus a bus station! Nina uhakika wanajenga kitu kingine!Saa zingine kama hujui kitu funga mdomo
View attachment 1683936
View attachment 1683937View attachment 1683938
Kama umewahi kuyapitia maandiko ya Einstein yanatupatia mwangaza kuelekea kwenye cosmology.Kwanza tujuze cosmology ni somo la nini. Nimekupa dakika mbili unijibu. Sitaki uende kugugo. Ninahesabu
Mkuu ukitaka nyongeza ya arguments kwenye Cosmology, Astronomy au Astrophysics hit me up! 😂😂😂Kama umewahi kuyapitia maandiko ya Einstein yanatupatia mwangaza kuelekea kwenye cosmology.
Tunaanza na issue ya SPANCE AND TIME as the measurement.
Kwanza unatakiwa kusoma na kujua General Theory of Relativity. Ndio tumaweza sasa kuanzia hapo. Ili uweze kusoma cosmology lazima physics I we imekaa vizuri. Maana hapa tutaanza kuongea misamiati tu.
Kwenye cosmology utajifunza dark energy and dark matter.
Kwa kifupi somo hili ni refu mno.