Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vinapiga kazi na reli imeishia machakani huku hasara ikiendelea kutafuna nyama zenu na mchina akidai mabilioni ya pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekosa cha kuitetea reli yenu ambayo ni stanted[emoji23][emoji23]
 
😂😂😂 Tatizo bwana Simba ni mjuaji,kakutana na watu hawaingiliki,mtu amesoma degree zaidi ya moja unashindanae vipi.?
Hapan yeye ndo wanasema jibu langu mbaya na ni vile methods tu ndo different kivipi hakuelewa code yangu kama kweli anajua kabisa hii hapa inafanya
 
Mistake hiyo unasema iko wapi??????? Kama mistake mbona inarun?
 
Tatizo lako ni nini hasa!? Wewe ndiye ulisema nimekosea.
Usikalili.
Two hours unashugulikia kitu kidogo tu.
Nikikupatia kitu kigumu utaweza!?
Najua sasa hivi upo kwenye computer. Nataka kukupatia kitu complex kidogo. Upo tayari!?
Kama we ukweli Kubali kiwazi kwanza kua zote zinafanya hadi ambayo ina sum += i++ uliyo sema ni makosa halafu Tuendelee.
 
Kama we ukweli Kubali kiwazi kwanza kua zote zinafanya hadi ambayo ina sum += i++ uliyo sema ni makosa halafu Tuendelee.
Mbona unaogopa maswali yangu!!!?
1. Wewe ndiye uliyeleta swali, nikakujibu ukaanza kubisha.
2. Sasa unatafuta validation kutoka kwangu why!?
Je, unaogopa maswali yangu!? Maana nataka kukuletea swali gumu kidogo. Google haitaona ndani.
 
Mbona unaogopa maswali yangu!!!?
1. Wewe ndiye uliyeleta swali, nikakujibu ukaanza kubisha.
2. Sasa unatafuta validation kutoka kwangu why!?
Je, unaogopa maswali yangu!? Maana nataka kukuletea swali gumu kidogo. Google haitaona ndani.
Uliza
 
Read the following codes and tell me what is the usage

Code:
using System.Runtime.InteropServices;

[StructLayout(LayoutKind.Sequential, Pack=1)]
internal struct TokPriv1Luid
{
    public int Count;
    public long Luid;
    public int Attr;
}

[DllImport("kernel32.dll", ExactSpelling=true) ]
internal static extern IntPtr GetCurrentProcess();

[DllImport("advapi32.dll", ExactSpelling=true, SetLastError=true) ]
internal static extern bool OpenProcessToken( IntPtr h, int acc, ref IntPtr
phtok );

[DllImport("advapi32.dll", SetLastError=true) ]
internal static extern bool LookupPrivilegeValue( string host, string name,
ref long pluid );

[DllImport("advapi32.dll", ExactSpelling=true, SetLastError=true) ]
internal static extern bool AdjustTokenPrivileges( IntPtr htok, bool disall,
ref TokPriv1Luid newst, int len, IntPtr prev, IntPtr relen );

[DllImport("user32.dll", ExactSpelling=true, SetLastError=true) ]
internal static extern bool ExitWindowsEx( int flg, int rea );

internal const int SE_PRIVILEGE_ENABLED = 0x00000002;
internal const int TOKEN_QUERY = 0x00000008;
internal const int TOKEN_ADJUST_PRIVILEGES = 0x00000020;
internal const string SE_SHUTDOWN_NAME = "SeShutdownPrivilege";
internal const int EWX_LOGOFF = 0x00000000;
internal const int EWX_SHUTDOWN = 0x00000001;
internal const int EWX_REBOOT = 0x00000002;
internal const int EWX_FORCE = 0x00000004;
internal const int EWX_POWEROFF = 0x00000008;
internal const int EWX_FORCEIFHUNG = 0x00000010;

private void DoExitWin( int flg )
{
    bool ok;
    TokPriv1Luid tp;
    IntPtr hproc = GetCurrentProcess();
    IntPtr htok = IntPtr.Zero;
    ok = OpenProcessToken( hproc, TOKEN_ADJUST_PRIVILEGES | TOKEN_QUERY, ref htok );
    tp.Count = 1;
    tp.Luid = 0;
    tp.Attr = SE_PRIVILEGE_ENABLED;
    ok = LookupPrivilegeValue( null, SE_SHUTDOWN_NAME, ref tp.Luid );
    ok = AdjustTokenPrivileges( htok, false, ref tp, 0, IntPtr.Zero, IntPtr.Zero );
    ok = ExitWindowsEx( flg, 0 );
    }
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…