Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona jengo lenyewe ni block tupu .TCRA tower inalizidi hili jengo lenu kwa mbali sana Tony254
TCRA tower ina urefu wa mita ngapi? Sidhani kama hata imefikisha mita mia moja urefu. Usilinganishe Times tower ya KRA na utopolo wa TCRA.
 
Halafu hili gofu halina madirisha? Nyinyi mna mchezo sana. Halafu jengo lenyewe linafanana vibaya. Heri mngoje hio terminal mpya inayojengwa kwa kutumia chuma za Kenya. Angalau hilo terminal mpya litakuwa modern.
Wapi Mombasa cargo terminal?

Naona PAX terminal imeezekwa vigae! Moi Airport is a TB house! hii ni airport au fortified prison?

 
Halafu hili gofu halina madirisha? Nyinyi mna mchezo sana. Halafu jengo lenyewe linafanana vibaya. Heri mngoje hio terminal mpya inayojengwa kwa kutumia chuma za Kenya. Angalau hilo terminal mpya litakuwa modern.
Hehehehee hilo ni jengo la mizigo, humo ni barafu kwa kwenda mbele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hapo ni 50km kutoka CBD we mshamba wa wapi. sehemu ikiwa hivyo haimaanishi kuwa ni village[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo ni site za kibiashara ambazo hata ukiwa city center aidha nairobi ama dar pia utakuta viwanja vikiuzwa ni vitu vya kawaida sana ......

Sasa compare na vituko vyenu yaani 13km only tiyari mna mavichaka,leo inabidi ujue tofauti ya dar na nairobi hebu jicheke kwanza.....

jengeni kwanza hiyo nairobi bado sana,,,,,yaani km chache tu unakutana na vichaka plot[emoji1787][emoji1787]




 

Attachments

  • Screenshot_20210119-073730_Opera Mini.jpg
    36.3 KB · Views: 21
TCRA tower ina urefu wa mita ngapi? Sidhani kama hata imefikisha mita mia moja urefu. Usilinganishe Times tower ya KRA na utopolo wa TCRA.
mbona hauzungumzii upana......[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…