Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini akipata matako .............. Yani umepata bundles leo
amna nimeazima simu .......ya dada yako mara moja......mimi simu huwa sina

yaani umaskini umenikaba kiasi cha kwamba nakosa pesa ya kununua simu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Msee ata utumie sarcasm fact ni fact...kariakoo is fake as fuckk
kwani nimekataa .........nimekukubalia ni pabaya mnooo..........hapafai

ila nairobi ni pazuri sana kama paradiso na wale wanyama pori ndiyo kabisa [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Mimi the more naona photos za dar...the more naidharau yani mji ni tower mbili tu.....alafu hakuna photo mzuri with cbd in far background kama hizi
sidhani kama ni tower 2 na mlikibia kwenye over 20 so zile tower zingine ziliyeyukaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I need such like photos from dar where there are beautiful structures and the far background is the cbd....for now I have no respect for dar
sisi hatuna vitu vikali kama hivyo ...huku tunaishi kwenye slums........mwanzo mwisho..........ni shida hata hospital hatunaga[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

nairobi ndiyo kila kitu kwetu....na dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…