COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Check iyo photo ya kariakoo ata hii ni better...iyo kariakoo manyumba ni 5-10 floors pekee..mko na kaziHio ni slum nyumba zimebanana hata pakupumua hakuna....vichochoro vimejaa zaidi ya barabara
Tuekee mambo yamaana
Tazama mwenyewe alafu utoe jibu alafCheck iyo photo ya kariakoo ata hii ni better...iyo kariakoo manyumba ni 5-10 floors pekee..mko na kazi
Nitulize kama bagamoyo Tena...iyo airport ata 290 years haitawai fikia JkiaHahahhaha wivu huo subiri imalize ujenzi ndio utaiona Vzr kwa sasa tuliza mshono😀😀😀😀
Mwezako amepost hizi ata sidani Luna yenye inafika 8Tazama mwenyewe alafu utoe jibu alaf
😀😀😀😀😀😀 kko hua inawaumiza sana kichwa....gorofa 10 to 20+ kariakoo hio
Hahaha utaumia sana kaka sijaona cha ajabu hapo.....dar inawapeleka speed kweliNitulize kama bagamoyo Tena...iyo airport ata 290 years haitawai fikia Jkia
Endelea kujipa moyo hvo hvoMwezako amepost hizi ata sidani Luna yenye inafika 8
Alafu tower mbili pekee ndio at least hii dar yenu
Naumia ama nafurahia...the more mnapost mapicha the more nadharau hii dar es salaam...ata Mombasa inakaa better...that city is real crapHahaha utaumia sana kaka sijaona cha ajabu hapo.....dar inawapeleka speed kweli
😀😀😀😀😀😀
Hahhahah kwani hamna architectures manyumba zinakaa box...ebu tuma aerial uone hakuna nyumba above 10 kariakoo
MZEE WA IPHONE7 kweli upeo mdoogo haiwezi ongoza upeo mkubwa una akili za kisambusa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maskini akipata matako .............. Yani umepata bundles leoMZEE WA IPHONE7 kweli upeo mdoogo haiwezi ongoza upeo mkubwa una akili za kisambusa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
leta source inayosema kama itafikisha ,2020 idadi ya 20milion usilete maneno hapa uje na factAlready tunahandle over that 2020 JKIA itakua na capacity ya 20m..izo ma picha za airport zenu Tena inakaa ugly sana at a 100 years hamtafikia JKIA
hapo kuna national housing kibaoMwezako amepost hizi ata sidani Luna yenye inafika 8
Alafu tower mbili pekee ndio at least hii dar yenu
Housing ndani ya cbd.....waah yaani hii kariakoo imekosa mwelekeohapo kuna national housing kibao
...plot
leta source inayosema kama itafikisha ,2020 idadi ya 20milion usilete maneno hapa uje na fact
kariakoo ni kubwa acha ushamba wa kukaririHahhahah kwani hamna architectures manyumba zinakaa box...ebu tuma aerial uone hakuna nyumba above 10 kariakoo
Sasa kama ni residential+business district na tower zote ni kama 5 floors iyo ni mwelekeo kupotezwakariakoo ni kubwa acha ushamba wa kukariri
njoo uone........yaani hamuigusi hata roboHousing ndani ya cbd.....waah yaani hii kariakoo imekosa mwelekeo
Haha si nimeiona...hakuna kitu haponjoo uone........yaani hamuigusi hata robo