Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What you are saying here in a whole page is basic knowledge ambayo every average person ako nayo. Nothing new there. Tangawizi na kitunguu saumu kila mtu alitumia wakati huu wa corona, myself included, as a way of boosting immune system. Why do you think that the use of these two was only limited to Tanzanians? Even Americans used these two, but they still died in thousands. Tell us how Tanzanian's "combated" corona and stop this stupid talk.

And wait a minute, did you say uliugua corona juzi tu hapa? I thought Corona "iliisha" Tanzania like four or five months ago. Kumbe mnaugua kisiri siri? 😂
 
Many Marvel/DC comics shows do mention Tanzania. I watched one where they mentioned Mt. Kilimanjaro😂😂😂 Wanatutangazia nchi na utalii
Mbona hizi ni vitu za kawaida sana. I am currently watching Designated Survivor on Netflix and they've mentioned Kenya and Nairobi so many times. I have watched lots of movies mentioning Kenya or Kenyan cities/towns but I don't see it as a big deal
 
Mkuu hii elimu yote ndo kusema umeyapa haya majitu majinga hv daahhh.
 
Mkuu Chamoto umeona ss, nilikuambia mm hawa watu tuwaache wafe tu wala tusiwape siri mana ni wabishi sana, btw huyo chamoto hayuko Tz, anaishi America huko ambapo ingekuwa ni Mkunya watu wote tungejua humu but huyo chamoto amekausha tu na ndivyo tulivyo Watz.

Wapo wengi humu wanaishi abroad lkn wamekaa kmy ila ingekuwa ata ww watchman tungekoma humu [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
We Lia kabisa,mapori muhimu Sana kwa mji,husafisha hata hewa,,hio ubungo kwa kweli Ni msalamba tu hakuna chochote🤣
 
Kumbe Dar ni kubwa kieneo tu [emoji23] Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
We unajua hapo ni wapi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka sana wallahi, hiyo ndiyo homa ya jiji kimara-kibaha highway, ni moto hyo road, nasema hivi hakuna road inafanyiwa decorations km hiyo kwa hapa EA hakiya ya nani nakwambia, hiyo barabara inatengenezwa jamani.

Juzi nilipita hapo narudia tena wakuu naomba muisave hii comment HAKUNA ROAD INALEMBWA KAMA HIYO HAPA EA, km ipo basi sijawahi kuiona. Perhaps ile ya Uganda but nayo haiingii hiyo ya kimara-kibaha highway, muda utaongea.
 
Kumbe Dar ni kubwa kieneo tu 😂 Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
Kumbe umeona Kama Mimi,kunakaa nikama Dar iko 200km far
 
Kwani ni wewe umeshikilia maisha ya watu humu ndani ndio useme uwaachilie wafe? Mbona unaongea kiboya hivi? Halafu this is internet, you may think you know a person kumbe you don't know anything about them. Just the same way you think you know me ila hakuna unachojua kunihusu hata chembe. You've just given an example with Chamoto. He hasn't talked about his whereabouts or what he does for a living but you've taken it upon yourself to tell the world about him like he asked you to. Hizi tabia ni za kike
 
Aii hii sa inaweza Thika road??tena hakuna cha ajabu hapa,no nothing just a wide road,kuja Kenya ujionee superhighway with many overpass, underpass, modern footbridge, interchanges,NMT from Nairobi to Thika,hii yenu interchange Ni moja tu🤣🤣🤣
 
Bongolala, I was making reference to the surrounding area, not the road in particular. Nimesena hiyo sehemu inakaa kijijini. Hata kijijini kwetu afadhali
 
Apo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Nairobi to Thika many visitors don't know when they are in or out of Nairobi,,huwa zimeshikana na Ni a stretch ya over 45km😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…