victor wanyama hakuja tz kibiashara,alikuja kula bata na kufanya vacation but alitamka tz is like my second home.chukua hiyo na uhifadhi kwa kichwa yako.trust a Kenyan if he wants to make money from you......atakuambia Dår is the best city in the World.
we nyamaza.acha upuuzi m.pesa aliyewaletea huko ni mbunifu kijana wa kitanzania baada ya kushindwana na mitandao ya simu iliyopo huku....hivyo kwa M.PEsa futa kabisa kichwani mwako
waulize aliyebuni hiyo software kabla ya kuitwa m.pesa ni nani....hahaha ati M-pesa....Tanzania? !!!!.....are you ok upstairs
Jitaidi kutengeneza pesa at least uweze kuvuka border uje kula bata Tanzania ,ndugu zako kibao nilikuwa nao weekend iliyopita Arusha city wanakula bata mpaka wanasema hawataki kurudi home
waulize safari com kabla ya kuitwa m.pesa aliyewaletea software ama aliyevuni ni nani?....we nyamaza.
Nairobi made her famous, and rich too, it still does and puts a lot of East African artistes on the map, ukikubalika Nairobi umepenyaNakkei Nairobi. ...my favourite track. Welcome to the cold Nairobi Mbilia Bell
hili la wakenya kuja kula bata bongo na kutotamani kurudi kwao kenya ni kawaida sana,nililigusia siku chache zilizopita.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
sawasawa rudi kulala sasa tushajuawaulize safari com kabla ya kuitwa m.pesa aliyewaletea software ama aliyevuni ni nani?....
Id like to propose to lusematic to pass it on the joint he is on, its a special kind, yaani ati mpesa ni Tanzanian invention and then what we stole it ama?waulize safari com kabla ya kuitwa m.pesa aliyewaletea software ama aliyevuni ni nani?....
😀😀😀😀😀😀 ndo hvo usije jipa moyo kua nairobi pekee ndio city ina national park pekeake nakukumbusha kuna mwanza also inayo within the cityumeona neno 'Major' hapo? National Parks zinaweza kuwa popote pale. but hapa nimeangazia the main Capital city. kama Mwanza ni Capital City ya Tz, then you are right.
haujaelewa ....kabla yakuitwa m.pesa kwanza ilianza software system creation ....na mbunifu ni mtanzania alishindwana na mitandao ya huku....hivyo ikibidi ailete huko software chaajabu mmeshindwa hata kumuintroduce na mmetunga story yenu.....Id like to propose to lusematic to pass it on the joint he is on, its a special kind, yaani ati mpesa ni Tanzanian invention and then what we stole it ama?
nawatekenya hawa kidogo ili thread yao ichangamkevictor wanyama hakuja tz kibiashara,alikuja kula bata na kufanya vacation but alitamka tz is like my second home.chukua hiyo na uhifadhi kwa kichwa yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
This is why one should not compare KARIAKOO and some of your Dirty community Housing.kariakooo ni kama umoja phase 1....
We have beautifully mountain klm, ngorongoro to mention fewso my question to our neighbours, what do you have to offer to the world?
We have beautifully mountain klm, ngorongoro to mention few
We have Zanzibar
We have Tanzanite, Gold, Diamond....
We have natural gas. ..
We have lots of cereals n other foods you know
We have Dar, Yes our biggest city ,we have peace,constitution, national anthem, national flag. ..
We do have people of all race here,some ar from Kenya and other parts of the world....
Nawakilisha
acha kukurupuka... wapi niligusia beaches?. hiyo ndio shida ya ku-debate na mtu anayetoka katika taifa lenye uhaba wa chakula.mda wote anawaza njaa.[emoji23] [emoji23]those places you have posted here are below par.......Mombasa ndio kusema kwa beach parties...Dar bado