Hii ni kanisa ama soko? Mbona inakaa kama kanisa la kikatoliki?
Tulisema humu kwmb wasiguse sekta yyte, hapa napo watakimbilia takwimu za Google [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nairobi si ndo Kenya na Kenya ndo Nairobi!hizo picha za malls or markets.. nimeona kwa kenya nying zipo Nairobi, wakati kwa Tanzania zipo mikoa mbalimbali
Ss wife mbn haupost picha, unabaki kuongea tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nakuruhusu ulete hayo makanisa basi maana masoko mmeshindwa!Majengo ya round hapa Kenya huwa ni makanisa
Basi sawa. Tuoneshe sasa masoko yenu.Majengo ya round hapa Kenya huwa ni makanisa
Sasa hili dude ambalo hata halijafikisha kilomita moja ndio mnapost kila siku. Hata hamuoni aibu jameni? Mnaonyesha dunia nzima jinsi gani nyie ni washamba. Kenya tuna flyovers hata kwenye miji midogo sio Nairobi tu. Nairobi yenyewe ina flyovers nyingi hata huwezi kuhesabu. Isitoshe tunajenga barabara ya juu kwa juu yaani expressway na bado haturingi. Hatuposti posts nyingi za kijinga za barabara moja kama hizo zenu.Sio kwamba hatujawahi ona flyover bali pia ni 3level ya kwnz EA.
Mambo ya render peleka kwenu. Hatuzitaki hapa
Subiri hiki kipigo kitauma kuliko cha shule 😅😅😅😅Tulisema humu kwmb wasiguse sekta yyte, hapa napo watakimbilia takwimu za Google [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huna bundle la video uone construction work?Mambo ya render peleka kwenu. Hatuzitaki hapa
Masoko nilishaweka kule juu msijifanye hamjaziona[emoji23][emoji23][emoji23]. You started posting Tanzanian stalls juu mliona nikipost masoko za Kenya. Unfortunately mmejitomba[emoji1787][emoji23][emoji23]Basi sawa. Tuoneshe sasa masoko yenu.
Sasa ni renders?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Mm nipo forums nyingi humu beibe, so ninapopata muda wa kuingia jf huwa napitia quotes zote na nazijibu kwa kadri niwezavyo usidhani nipo tu humu.I'm laughing at you how you are struggling to find modern markets in Tanzania[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sasa hili dude ambalo hata halijafikisha kilomita moja ndio mnapost kila siku. Hata hamuoni aibu jameni? Mnaonyesha dunia nzima jinsi gani nyie ni washamba. Kenya tuna flyovers hata kwenye miji midogo sio Nairobi tu. Nairobi yenyewe ina flyovers nyingi hata huwezi kuhesabu. Isitoshe tunajenga barabara ya juu kwa juu yaani expressway na bado haturingi. Hatuposti posts nyingi za kijinga za barabara moja kama hizo zenu.
Masoko mpo juu na sisi malls tupo juu.nakuruhusu ulete hayo makanisa basi maana masoko mmeshindwa!
Hakuna flyover hata moja Kenya, kuna ushuzi wa tofali km unabisha hebu post japo moja tu tuone [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Sasa hili dude ambalo hata halijafikisha kilomita moja ndio mnapost kila siku. Hata hamuoni aibu jameni? Mnaonyesha dunia nzima jinsi gani nyie ni washamba. Kenya tuna flyovers hata kwenye miji midogo sio Nairobi tu. Nairobi yenyewe ina flyovers nyingi hata huwezi kuhesabu. Isitoshe tunajenga barabara ya juu kwa juu yaani expressway na bado haturingi. Hatuposti posts nyingi za kijinga za barabara moja kama hizo zenu.
Hawa watu hawana masoko. Hujaona venye wanastruggle kutafuta those markets?[emoji23][emoji23][emoji1787]Masoko mpo juu na sisi malls tupo juu.
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji204][emoji204]Masoko mpo juu na sisi malls tupo juu.
Watu wanaongelea barabara za 27km hao wanashangilia msalaba ya 200 metres[emoji23][emoji23][emoji1787]
Kila siku lazima wapost hio ujinga hapa mpaka wanaboo. Yaani these guyz ni washamba sana. Hawajawahi kuona barabara ya flyover until hio ubungo ilipojengwa.Watu wanaongelea barabara za 27km hao wanashangilia msalaba ya 200 metres[emoji23][emoji23][emoji1787]