Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wengine wakiendelea kupiga makelele sisi tunachapa kazi.[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1672076View attachment 1672077
Mnamkumbuka huyu mkumbaf aliyefungua huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23]

 
watafanyaje sasa wakati wako kwenye kipindi kigumu kuliko wakati wowote kwenye maisja yao[emoji3][emoji3].

tuwasamehe tu.
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza! Until I posted my pictures, you didn’t think you had a threat! 😂😂😂
🤣🤣🤣Eti threat?? Huto tu building along the road tuwe threat🤣🤣threat to upperhill Ni sandton SA
 
haya sasa kazi kwake afungue thread aipe tittle ya daraja la sgr tanzania lajengwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leta evidence wapi nilisema hivyo! Nimekuwa nikikandia mikopo ya kipumbavu Kenya imekuwa ikichukua China na sijawahi kusema Tanzania haitachukua mikopo Uchina bali nimekuwa nikisisitiza haitakuwa ya kijinga!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…