Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapa kwanza
sinilkwambia wewe unagovi ukabisha

sijakuekea uhesabu slums nimekuokea uone area ya slums na area ya city center
pitia tena alafu uniambia area ya city center kama inavuka 90 km sq


alaf ukitaka kuhesabu slums za nairobi hizi hapa

 
Zenu hazihesabiki nikama eneo nzima la dar
 
 
Top 4 African Cities have an area segregated for the living poor people

Manshiyat Nasser Slum in Cairo
Khayelitsha Slum in Capetown
Kibera Slum in Nairobi
Makoko Slum in Lagos

none of them is an ldc country na hawababayuki

but hapa tuko na the whole city of Dar Is Slum. yaani Dar ni Slum kutoka mwanzo hadi mwisho. and to top it all up.... ni LDC!!!
 
Unatumia nguvu kubwa Sanaa kuwaaminisha watu kuwa Nairobi haina slum kubwa
 
Tanzania na Somalia ni sawa hahaha. ......amani mingi lakini umaskini umekithiri in the whole country.
Kuna mda nawaonea huruma poor Kenyan ila naona hamjionei huruma mmezoea maisha haya

Hapa mtanzania ukimuweka Siku moja tu anakufa ila Nairobi ndo maisha yenu mmezoea
 
hapa kwanza
sinilkwambia wewe unagovi ukabisha

sijakuekea uhesabu slums nimekuokea uone area ya slums na area ya city center
pitia tena alafu uniambia area ya city center kama inavuka 90 km sq


alaf ukitaka kuhesabu slums za nairobi hizi hapa

 
Unatumia nguvu sana kuhamasisha lakini wapi world biggest slum itabaki kua kibera
Hakuna ujanja hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna mda nawaonea huruma poor Kenyan ila naona hamjionei huruma mmezoea maisha haya

Hapa mtanzania ukimuweka Siku moja tu anakufa ila Nairobi ndo maisha yenu mmezoeaView attachment 532500
Wanaishi maisha ya kuzimu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mm binafasi sijawah kuona makazi kama haya tanzania wala uganda
 
Nairobi to Mombasa









__________________
Hebu imagine hii ni bus stand iko morogoro tanzania, je sgr yetu itakuwaje πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Msamvu bus stand morogoro

Mm sipendi matusi ila kwenye ukweli nasema stage za bus kenya ukiziona hata vyoo vya ubungo bus stand vina afadhali
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unatumia nguvu sana kuhamasisha lakini wapi world biggest slum itabaki kua kibera
Hakuna ujanja hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
6% Slum in Nairobi
92% Slum Dar Is Slum

tumia akili
 
6% Slum in Nairobi
92% Slum Dar Is Slum

tumia akili
Akili itumike kwanza hapa kibera iwe the biggest slum in the world alaf unaimbie ni 6%
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata mtoto wa miaka 6 huwez mdanganya
Hebu tupitie hapo tuone slums area na city center area alaf jibu unipe wewe mwenyewe



alaf ukitaka kuhesabu slums za nairobi hizi hapa

 
hii picha ni wapi hebu nieleze vzr nikuskie
Hiyo picha ya juu sijui wameitolea wapi, ila wasitake kufananisha Manzese/Tandale na Kibera, Kibera ni kama kambi fulani ya watu waliokuwa isolated. Ukiangalia nyumba zao ni za mabati na udongo kitu ambacho kwa Dar hata ukute mtu ni masikini kiasi gani hawezi jengea nyumba udongo au mabati... Kibera & dada yake Mathare are pure definition of slum wakati Manzese/Tandale is just informal settlement with all basic services
 
sijui picha wameiokota wapi wanakwambia dar..........watu wanaishi maisha ya kuzimu alaf anakuja mtu anaropoka eti world class cityπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sijui picha wameiokota wapi wanakwambia dar..........watu wanaishi maisha ya kuzimu alaf anakuja mtu anaropoka eti world class cityπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
niwapuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…