Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona haijawekwa South Africa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wengine wakichapa international routes za 50 nyinyi mnacheka na tano[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kubadilisha magoli ili ukweli ni kuwa kila utakapo gusa utakula spana tu.
 
Hapa ulisema utagiwe zikifika ngapi?
Hii ndio hile hainanga wateja? Siku international routes zitafika tano tafadhali usisahau kunitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa zipo ngapi?
Hizi ni ngapi?

Guangzhou
Lusaka
Harare
Mumbai
Entebbe
Comoros
Bujumbura
Kila unapogusa unapigwa spana.
Nidanganye kwa faida ya nani!
Sijawa mkenya maana mnasifika kwa kudanganya ovyo ili mpate sifa msizo stahili.
Sasa mbona unadanganya watu? Ebu tuonyeshe picha ya Any Time Cancellation Limited (ATCL) ikiwa Guangzhou[emoji1787][emoji23][emoji23]
ATCL tayari ina kibali cha kuruka Guangzhou China ila restrictions za corona ndio bado hazijakaa sawa.
 
Thanks for accepting that level ya Dar is slum ni Mogadishu👏👏👏😂
 
Ebu tuonyeshe hicho kibali🤣🤣🤣. Unahesabu route enye hata Magufuli mwenyewe hajui iko wapi😂😂😂. Siku hizo mitumba zenu zitakanyaga China ndio ueke Guangzhou kwa list, as of now safari zenu ni za daladala😂😂😂
 
Alafu anatoa excuse ya covid restrictions, restrictions kitu gani na hamkuwa lockdown na China pia hawajakuwa lockdown tangu February😂😂🤣😂. Ama hiyo ndege yenu ilikuwa ya kubeba waingereza wenye bado wako lockdown?🤣🤣😂🤣
 
Certified nincompoop hii ni nini?
 
Si uliuliza kuhusu international routes?
Hii ndio hile hainanga wateja? Siku international routes zitafika tano tafadhali usisahau kunitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya kuoneshwa international routes za ATCL umeanza kuweweseka ovyo na bado huo ni mwanzo tu safari hii huo wivu utakutesa zaidi.
Hii ndio kibali?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu tuonyeshe picha ya ndege ikishafika Guangzhou. Leo booking site imekuwa kibali[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Si uliuliza kuhusu international routes? Baada ya kuoneshwa international routes za ATCL umeanza kuweweseka ovyo na bado huo ni mwanzo tu safari hii huo wivu utakutesa zaidi.
Hahmna international flights za kuenda Guangzhou na ndio maana hata ukisearch flights unaambiwa hakuna ndege😂😂🤣🤣👇👇👇

 
Wengi wanaoenda kusoma Kenya au Uganda, walikuwa wameshindwa kumudu elimu ya Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…