Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi karibuni nitamreplace kaka @teargas kama adui yao number 1 🤣 🤣
 
So ndio munafanya huu ujinga wakat BBi watu wanatungua pesa 🤣🤣🤣

 
Expressway inayojengwa na mchina kwa pesa za mchina kwa miaka 27 alaf awatoze 1798ksh for 27good yrs 🤣🤣🤣🤣 hata mm ningekua mchina nisingekataa hio bahati yani hakuna kitu mutajenga zaidi ya kuuza nchi taratibu 🤣🤣🤣🤣
 
Sikuwa najua b4 km Wakenya ni ******* namna hii, yn kitu hawana watafosi ionekane wanacho, ila hapa wamegonga mwamba wamekuja kugundua kuwa Tz tuko mbele yao kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
unataka na UG ije isaidie kenya[emoji23][emoji23][emoji23].

unaijulia wapi tz in and out wewe!!!!

wacha uzushi wa bei cheap wewe.
 
Sikuwa najua b4 km Wakenya ni ******* namna hii, yn kitu hawana watafosi ionekane wanacho, ila hapa wamegonga mwamba wamekuja kugundua kuwa Tz tuko mbele yao kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawaamini kama tumewapita kiasi hiki, bado battle la shule linaendelea 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…